fantastic philip
Senior Member
- Oct 17, 2015
- 195
- 688
Kutana na Bwana Keppa aliyeingia dakika ya 119 akichukua nafasi ya Mendy ili akadake Penalties.
Mwisho wa mechi amefungwa Penalt zote 11 na akapaisha Penalt ya mwisho[emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha kama cedric kaze alivyofanya zanzibarKutana na Bwana Keppa aliyeingia dakika ya 119 akichukua nafasi ya Mendy ili akadake Penalties.
Mwisho wa mechi amefungwa Penalt zote 11 na akapaisha Penalt ya mwisho[emoji16]
Mi nahisi alijisahau akazani anapiga goal kickView attachment 2134049
Kutana na Bwana Keppa aliyeingia dakika ya 119 akichukua nafasi ya Mendy ili akadake Penalties.
Mwisho wa mechi amefungwa Penalt zote 11 na akapaisha Penalt ya mwisho[emoji16]
sijapata ona uonevu wa namna ile kama walio fanyiwa Chelsea, yaani goli3 zootee walizo funga ndani ya dakika 120 zilikuwa offside?? aloo tunasema simba inabebwa kumbe inabebwa kidogo, duniani kuna tim zinabebwaa kweli kweli
Bingwa wa kudaka penatiView attachment 2134049
Kutana na Bwana Keppa aliyeingia dakika ya 119 akichukua nafasi ya Mendy ili akadake Penalties.
Mwisho wa mechi amefungwa Penalt zote 11 na akapaisha Penalt ya mwisho[emoji16]
Nikadhani nilikuwa peke yangu, sikuelewa offside ilitoka wapi?Waamuzi wa Uingereza kama wa Bongo tu! Mfano lile goli la Lukaku la dakika za lala salama, linakera mpaka basi. Yaani mwamuzi anaenda kuangalia kwenye VAR, anaona kabisa mchezaji hakuwa offside, lakini anaamua iwe offside.
Uonevu mkubwa kabisa ule.
Nikadhani nilikuwa peke yangu, sikuelewa offside ilitoka wapi?
Eti wanadai mkono ulizidiWaamuzi wa Uingereza kama wa Bongo tu! Mfano lile goli la Lukaku la dakika za lala salama, linakera mpaka basi. Yaani mwamuzi anaenda kuangalia kwenye VAR, anaona kabisa mchezaji hakuwa offside, lakini anaamua iwe offside.
Uonevu mkubwa kabisa ule.
Alimfanyia naniSio offiside n faulo alicheza kabla ya kuwin mpira
Sheria ya offside iangaliwe upyasijapata ona uonevu wa namna ile kama walio fanyiwa Chelsea, yaani goli3 zootee walizo funga ndani ya dakika 120 zilikuwa offside?? aloo tunasema simba inabebwa kumbe inabebwa kidogo, duniani kuna tim zinabebwaa kweli kweli