Wanajf naomba msaada sasa miaka miwili ni kusumbuliwa na fangus wasiopono dawa nilizotumia whitefield , na zingine nyingi hospitali nimeenda na kuchukua vipimo na nikapewa na dawa.lakini mpaka leo pumbu zinawasha sana na kuuma na pia zinatoa vumbi vumbi nyeupe
Tumia QUADRIDERM........Inauzwa 10,000 kwa tube.....halafu lete taarifa za matokeo yake hapa
QUADRIDERM * - Unipharma Pharmacuetical Industries
Jaribu kupaka mafuta ya break ya gari baada ya kuosha na spirit
a a....
hii sio habari nzuri hii......umecheki ugonjwa wa pangusa....?
Pumbu ni nini!!!???