Kereng'ende zangu zinawasha na kuuma

Kereng'ende zangu zinawasha na kuuma

Ndokeji

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2011
Posts
698
Reaction score
476
Wanajf naomba msaada sasa miaka miwili ni kusumbuliwa na fangus wasiopono dawa nilizotumia whitefield , na zingine nyingi hospitali nimeenda na kuchukua vipimo na nikapewa na dawa.lakini mpaka leo pumbu zinawasha sana na kuuma na pia zinatoa vumbi vumbi nyeupe
 
a a....
hii sio habari nzuri hii......umecheki ugonjwa wa pangusa....?
 
utakuwa umegonga saaaaana
:focus:

Jaribu kukausha maji maji mara baada ya kuoga
maji yanayobaki bila kuyakausha ndo yanaleta fungus
 
Wanajf naomba msaada sasa miaka miwili ni kusumbuliwa na fangus wasiopono dawa nilizotumia whitefield , na zingine nyingi hospitali nimeenda na kuchukua vipimo na nikapewa na dawa.lakini mpaka leo pumbu zinawasha sana na kuuma na pia zinatoa vumbi vumbi nyeupe

Jaribu kupaka mafuta ya break ya gari baada ya kuosha na spirit
 
Pumbu ni nini!!!???

Pale sokota zinapatikana kwa wingi

a04fig01.gif
 
utakuwa umegonga saaaaana
:focus:

Jaribu kukausha maji maji mara baada ya kuoga
maji yanayobaki bila kuyakausha ndo yanaleta fungus

kweli nalo linaweza kuchangia ngoja nijitaidi
 
Pole mkuu, hakikisha pumbu zako zinakuwa kavu mda wote, unanyoa mara kwa mara atleast mavuzi yasizidi robo nchi.
 
Kwa nini wamebadilisha p.umbu na kuweka kereng'ende? Si ni kitu kile kile tu au?
 
Back
Top Bottom