khamis kilo
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 1,137
- 1,380
Lakini Arusha inajitahidi sana!! Hii barabara yakuingia Holili/Taita ikimalizika, mambo pale yatakuwa bombaKiukweli wakenya wametuacha mbali hasa mipango miji,miji kama Njombe na Mafinga ingepangwa vyema ingematch kericho kwa mandhari.Tuna miji mingi mizuri ambayo imekosa mpangilio mzuri,inasikitisha kuona miji kama dar,mwanza,mtwara,tanga,lindi,bagamoyo,kilwa masoko iliyo ufukweni iko poor.Miji ya singida,babati,arusha,mbeya,morogoro,iringa ingependeza sana lakini basi tu ndo bongo ya fisiem
I have a friend in mbeya...its in southern Tanzania towards MalawiMbeya City
Huko nasikia hakujulikani kabisa!!? Mwisho wa dunia, ni kweli??I have a friend in mbeya...its in southern Tanzania towards Malawi
Kitu ka hiyo...tao imebeat ka fuckinHuko nasikia hakujulikani kabisa!!? Mwisho wa dunia, ni kweli??
Kisii town is booming
I am speechless!Is Kisii already bigger than Bungoma Town? Kisii is the town i have never been to!!
Here are some photos of Bungoma i took some time back
View attachment 518757 View attachment 518758 View attachment 518759 View attachment 518760 View attachment 518761 View attachment 518762 View attachment 518763 View attachment 518764 View attachment 518765 View attachment 518766 View attachment 518767 View attachment 518768 View attachment 518769 View attachment 518770 View attachment 518771 View attachment 518772 View attachment 518773 View attachment 518774 View attachment 518775 View attachment 518776