aganza
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 1,450
- 3,153
Mingi Sana zaidi ya hiyoKuna miji kama hizi huko Bongo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mingi Sana zaidi ya hiyoKuna miji kama hizi huko Bongo?
Sehemu kubwa ya Kenya siyo rafiki kwa kuishi binaadamu. Kwa hiyo haishangazi kuwa na miji michache.Ni kweli mjini ni mzuri lakini tatizo wana miji michache ukilinganisha na Tanzania ambayo imesambaza miji kila mkoa. Kenya utasema ni Nairobi, Mombasa, Kisumu, Kericho, Nakuru na Eldoret. Lakini ukija Tanzania tuna miji mingi na huduma zimesambaa uko kuliko Kenya. Mfano Dar es Salaam, Mwanza, Arusha, Mbeya, Tanga, Moshi, Iringa, Dodoma, Kibaha na Morogoro ni miji mizuri sana. hapo hujaweka miji mkuu ya mikoa kama Bukoba, Musoma, Shinyanga, Singinda, Bagamoyo, Songea, Mtwara, Lindi, Kigoma etc. Na ukienda kote uko utakuta huduma zote
Its not far from lake Victoria(100km ) its in a highland and hosts the biggest forest in Kenya(mau forest)What is the water body in the background? Is Jericho near a lake? Which lake?
Photography can make any place look great depending on choice of what to shoot, the photographer's eye, technical know-how and photographer's location.It looks very cool place...whatelse kericho offer..?
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
una shida sana we mtoto wa kikeMfyuuuuuuuuuuuh
Null and voidPhotography can make any place look great depending on choice of what to shoot, the photographer's eye, technical know-how and photographer's location.
I saw a picture of Kisii and realized it is giving Kericho a true run!! This rural owns are ready for take off!! Very fastWoow
I saw a picture of Kisii and realized it is giving Kericho a true run!! This rural owns are ready for take off!! Very fast
View attachment 518145
Waaaw Hatari!! Tuseme Kisii imepita kapsabet ama Kitale?
Kisii hapana mchezo...inachapa mwanza
Waaaw Hatari!! Tuseme Kisii imepita kapsabet ama Kitale?
Ubaya barabara zao sio poa. Wakifiz tu hizo, hata Kigali hawesmakeWaaaw Hatari!! Tuseme Kisii imepita kapsabet ama Kitale?
Ubaya barabara zao sio poa. Wakifix tu hizo, hata Kigali hawesmakeWaaaw Hatari!! Tuseme Kisii imepita kapsabet ama Kitale?