Kericho Town.Tea town in south rift,kenya.


Resent visit by Uhuru Kenyatta to kericho
 
Kericho kuzuri sana nme wahi kukaaa pale
 
Ni kweli mjini ni mzuri lakini tatizo wana miji michache ukilinganisha na Tanzania ambayo imesambaza miji kila mkoa. Kenya utasema ni Nairobi, Mombasa, Kisumu, Kericho, Nakuru na Eldoret. Lakini ukija Tanzania tuna miji mingi na huduma zimesambaa uko kuliko Kenya. Mfano Dar es Salaam, Mwanza, Arusha, Mbeya, Tanga, Moshi, Iringa, Dodoma, Kibaha na Morogoro ni miji mizuri sana. hapo hujaweka miji mkuu ya mikoa kama Bukoba, Musoma, Shinyanga, Singinda, Bagamoyo, Songea, Mtwara, Lindi, Kigoma etc. Na ukienda kote uko utakuta huduma zote
 
Nimefika Naivasha,nyeri,kiambu,thika,nyahururu towns na ni very big towns...sema zile umeskia but kenya kuna towns mingi sana zimedevelop
 
Kenya kuna towns mingi developed kwanza central kenya, riftvalley,western,eastern,coast na nyanza ni northern kenya tu ndio imezembea
 
Mwanza




Arusha


Tanga

Dodoma

Morogoro


Moshi


Iringa

Bukoba

 
Kenya pia ina miji mingi tu, sema miji mingi mikuu zimekusanyika kwenye eneo la kusini mwa Kenya.
 
Yap
Kamji kazuri sana hako
Nilianza kukasikia kitambo saana kipindi nasikiliza KBC Nairobi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…