Kericho Town.Tea town in south rift,kenya.


The wessyde lounge club in kericho is the best place to party mainly in weekends...
Follow in fb..wessyde lounge.
 
I often get bored by these Tanzanians...I though the thread was about Kericho town in Kenya ..who asked about Tanzania towns of Arusha, Tanga, Dodoma, Mbeya e.t.c so pleeeeaaase!..stop posting your photos here ...that habit of your is really disgusting...if you want to show us Tanzanians towns please create your own thread rather than infiltrating Kenyans thread with your towns...this is a habit that I have noted quite often...So Tanzanians please shape up
 
Hapana Kenya wame endelea sana kuliko TZ tuache ubishi mji kma Nakuru ukitoa dar cion hapa Tanzania utalinganisha na upi
 

Wanataka ligi ya Kericho vs The rest of Tanzania apart from Dar, si wajua hamana lolote kule zaidi ya Dar
 
umeongea vizuri sana ndugu...sijawai ona wakenya wakienda poromosha picha za kenya kule kwa threads za tz.its annoying sana
 
Unajua, sio jambo la busara kufurahia projects ambazo hata hujui kama zitakuwa realized except on paper. Kwanini usiweke vitu ambazo tayari ziko or tayari zinaendelea kujengwa.

msamehe tu kwa kuwa hajawa updated na hizo projects alizozitaja kama aim mall ya arusha imekamilika huku ya mwanza ikiwa katika maandalizi lakini kutokana na hali ya sasa ya Tz sidhani kama investments zitaongezeka..

lakini pia umenipa link ya ukubwa wa miji kutokana na population ambayo ni irrelevant na swali nililokuuliza kwa mfano nakuru imewekwa baada ya mombasa ilhali mji wa tatu kwa ukubwa niujuao ni kisumu.. eldoret na nakuru sijui ipi inafuatia ndio maana nikakuomba unipe list
 
1.Nairobi
2.Mombasa
3.Kisumu
4.Nakuru
5.Eldy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…