BlietzKrieg
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 2,882
- 2,263
Eeh hatuwezi juu hii forum ni ya kericho.Iringa haiwezi kufananishwa na huo utoto
Mkenya bila kuitaja Tanzania au Dar
hawezi kuimaliza mada yake
rudi mwanzo nani alianzisha uchokozi huo
Wame mix picha humo
huwajui hawa watu
Ni kweli mjini ni mzuri lakini tatizo wana miji michache ukilinganisha na Tanzania ambayo imesambaza miji kila mkoa. Kenya utasema ni Nairobi, Mombasa, Kisumu, Kericho, Nakuru na Eldoret. Lakini ukija Tanzania tuna miji mingi na huduma zimesambaa uko kuliko Kenya. Mfano Dar es Salaam, Mwanza, Arusha, Mbeya, Tanga, Moshi, Iringa, Dodoma, Kibaha na Morogoro ni miji mizuri sana. hapo hujaweka miji mkuu ya mikoa kama Bukoba, Musoma, Shinyanga, Singinda, Bagamoyo, Songea, Mtwara, Lindi, Kigoma etc. Na ukienda kote uko utakuta huduma zote
Very informative thread. Inatusaidia kufahamu Kenya ni zaidi ya Nairobi. Huo mji mzuri ni sana. Watanzania wenzangu mwamba ngoma huvutia kwake lakini tuseme ukweli hapa Tanzania ni mji gani umepangwa vizuri hivyo? Hali ya hewa na sura inafanana na Arusha, Lushoto na Iringa lakini hatukujiongeza kuipanga na kuipendezesha hiyo miji. Pia Kenya wana miji mingi mizuri (shukrani kwa mkoloni settler) ukilinganisha na Tanzania hasa ukizingatia Tanzania ina eneo kubwa kuliko wenzie wa Afrika Mashariki. Kuleta picha za vighorofa wakati mwingine analeta sura ya mji ni kujifaragua bila sababu ya msingi.
Ungejiuliza kwanzaNimeufuatilia uzi huu na kama zingine zote hakuna Mkenya ametaja Tanzania mwanzo. Shida ya wengine wenu ni inferiority complex ukiwa kiongozi wao. Post ya Kwanza ya kiushabiki kaipost wewe ukifuatiliwa na ya mwenzako kama ifuatavyo.
Kweli kabisa, Kericho nakumbuka miaka hiyo ya tisini mwishoni nilikuwa napita sana mitaa hiyo nikitokea Mwanza kuja Dar kupitia Sirari,Migori, Kisii, Kericho, Nakuru jamaa miji yao mingi imechangamka sana uwo ndo ukweli na imepangiliwa vizuriMiji ya Kenya ina tofauti sana na Tanzania iko hai ukienda hata iwe ndani vipi unakuta imechangamka. Tofauti na Tanzania kuna miji ukifika utadhani kuna msiba
kwanza malindi napapenda sana...kamji kadogo ila kananipa raha sanaCan we start threads for various towns/cities in Kenya so far i have seen only for Nairobi, Mombasa, Eldoret and Kericho.
Kama ilivyo miji ya tzKwa sasa miji yote Kenya yaweza funguliwa thread maana inajitosheleza
Mini gan ya hiyo inayo tolewa ligi na kericho ?Kama ilivyo miji ya tz
Gani sasa?? Kericho inatoa ligi Miji ya Tanzania midogomidogo yote combined
Safi sana leo hata Narok ukipita siyo ile tena kuna Mall kubwa ambayo Arusha hakunaKweli kabisa, Kericho nakumbuka miaka hiyo ya tisini mwishoni nilikuwa napita sana mitaa hiyo nikitokea Mwanza kuja Dar kupitia Sirari,Migori, Kisii, Kericho, Nakuru jamaa miji yao mingi imechangamka sana uwo ndo ukweli na imepangiliwa vizuri