Kericho Town.Tea town in south rift,kenya.

Kericho Town.Tea town in south rift,kenya.

Sasa niko hapa kericho m fond of kericho's tea bag nimepita migori,kisii,nyamira to kericho manyang'au mmejua kusieze oppurtunities kwa kweli mmejipanga na cash crops hasa tea na miti. Ila punguzeni ulevi hahahhaha by the way weather kama europe. Ila watz wenzangu hawa jamaa msiruhusu soko la pamoja hawafai wabongo na uvivu wetu tutapigwa bao wallah
 
Very informative thread. Inatusaidia kufahamu Kenya ni zaidi ya Nairobi. Huo mji mzuri ni sana. Watanzania wenzangu mwamba ngoma huvutia kwake lakini tuseme ukweli hapa Tanzania ni mji gani umepangwa vizuri hivyo? Hali ya hewa na sura inafanana na Arusha, Lushoto na Iringa lakini hatukujiongeza kuipanga na kuipendezesha hiyo miji. Pia Kenya wana miji mingi mizuri (shukrani kwa mkoloni settler) ukilinganisha na Tanzania hasa ukizingatia Tanzania ina eneo kubwa kuliko wenzie wa Afrika Mashariki. Kuleta picha za vighorofa wakati mwingine analeta sura ya mji ni kujifaragua bila sababu ya msingi.
 
Mkenya bila kuitaja Tanzania au Dar
hawezi kuimaliza mada yake
rudi mwanzo nani alianzisha uchokozi huo

Nimeufuatilia uzi huu na kama zingine zote hakuna Mkenya ametaja Tanzania mwanzo. Shida ya wengine wenu ni inferiority complex ukiwa kiongozi wao. Post ya Kwanza ya kiushabiki kaipost wewe ukifuatiliwa na ya mwenzako kama ifuatavyo.

Wame mix picha humo
huwajui hawa watu

Ni kweli mjini ni mzuri lakini tatizo wana miji michache ukilinganisha na Tanzania ambayo imesambaza miji kila mkoa. Kenya utasema ni Nairobi, Mombasa, Kisumu, Kericho, Nakuru na Eldoret. Lakini ukija Tanzania tuna miji mingi na huduma zimesambaa uko kuliko Kenya. Mfano Dar es Salaam, Mwanza, Arusha, Mbeya, Tanga, Moshi, Iringa, Dodoma, Kibaha na Morogoro ni miji mizuri sana. hapo hujaweka miji mkuu ya mikoa kama Bukoba, Musoma, Shinyanga, Singinda, Bagamoyo, Songea, Mtwara, Lindi, Kigoma etc. Na ukienda kote uko utakuta huduma zote
 
Very informative thread. Inatusaidia kufahamu Kenya ni zaidi ya Nairobi. Huo mji mzuri ni sana. Watanzania wenzangu mwamba ngoma huvutia kwake lakini tuseme ukweli hapa Tanzania ni mji gani umepangwa vizuri hivyo? Hali ya hewa na sura inafanana na Arusha, Lushoto na Iringa lakini hatukujiongeza kuipanga na kuipendezesha hiyo miji. Pia Kenya wana miji mingi mizuri (shukrani kwa mkoloni settler) ukilinganisha na Tanzania hasa ukizingatia Tanzania ina eneo kubwa kuliko wenzie wa Afrika Mashariki. Kuleta picha za vighorofa wakati mwingine analeta sura ya mji ni kujifaragua bila sababu ya msingi.

Mkoloni kaijenga Kericho kivipi sasa? Fikra zingine za kivivu - ukichapwa bao unazingizia upendeleaji wa refa kwa upande wa mshindani wako.
 
Nimeufuatilia uzi huu na kama zingine zote hakuna Mkenya ametaja Tanzania mwanzo. Shida ya wengine wenu ni inferiority complex ukiwa kiongozi wao. Post ya Kwanza ya kiushabiki kaipost wewe ukifuatiliwa na ya mwenzako kama ifuatavyo.
Ungejiuliza kwanza
kwanini Aitaje Tanzania!!
Shida yenu hamuanzishi mada hu kwa lengo la kuelimisha
lengo ni kutafuta sifa za kijinga
tena kwa kukejeli watanzania
unategemea sisi tufanyeje!!
 
Zoo Kericho fc a football club based in kericho recently promoted to Sportpesa Premier league
9356f73313c878587f26aed2c7d0a9b4.jpg
a3df4e9fa80318b2091e2d00ca5c245b.jpg
d352d017a31b81e300328c0ace224ad4.jpg
c7a3a2c57417c6b6c09f41a1412bb90d.jpg
59aa81bf0a294cf48db6327d74c3d341.jpg
53154dfe5770df91a04a789da17a497d.jpg
 
Miji ya Kenya ina tofauti sana na Tanzania iko hai ukienda hata iwe ndani vipi unakuta imechangamka. Tofauti na Tanzania kuna miji ukifika utadhani kuna msiba
Kweli kabisa, Kericho nakumbuka miaka hiyo ya tisini mwishoni nilikuwa napita sana mitaa hiyo nikitokea Mwanza kuja Dar kupitia Sirari,Migori, Kisii, Kericho, Nakuru jamaa miji yao mingi imechangamka sana uwo ndo ukweli na imepangiliwa vizuri
 
Can we start threads for various towns/cities in Kenya so far i have seen only for Nairobi, Mombasa, Eldoret and Kericho.
 
Can we start threads for various towns/cities in Kenya so far i have seen only for Nairobi, Mombasa, Eldoret and Kericho.
kwanza malindi napapenda sana...kamji kadogo ila kananipa raha sana
 
Gani sasa?? Kericho inatoa ligi Miji ya Tanzania midogomidogo yote combined
 
Kweli kabisa, Kericho nakumbuka miaka hiyo ya tisini mwishoni nilikuwa napita sana mitaa hiyo nikitokea Mwanza kuja Dar kupitia Sirari,Migori, Kisii, Kericho, Nakuru jamaa miji yao mingi imechangamka sana uwo ndo ukweli na imepangiliwa vizuri
Safi sana leo hata Narok ukipita siyo ile tena kuna Mall kubwa ambayo Arusha hakuna
 
Back
Top Bottom