Anonymous
Senior Member
- Apr 6, 2006
- 118
- 339
Imeletwa na mwananchi, namsaidia kuifikisha JF:
👇🏾👇🏾👇🏾
Naomba niripoti hii kwa sehemu husika hasa iwafikie walengwa ambao ni viongozi, either wenyeviti wa serikali za mitaa, Diwani ama mkuu wa wilaya DC Jokate Mwegelo.
Naomba mtambue wananchi wenu tunaoata tabu sana na hzo barabara tajwa hapo juu ni moja ya dalili za ubadhilifu wa fedha unafanyika mfano barabara ya Buza Kanisani kuelekea stendi ya daladala mpya ile barabara imechimbuliwa kwa madhumuni ya kujengwa rami lakini mpaka leo hakuna kinachoendela zaidi ya kutuongeza tope kipindi cha mvua.
Lakini pia hizi barabara za Jet kwa Gude nazo zilikuwa nzuri tu kiasi kwamba hazikufikia hatua ya kuchimbuliwa namna hii mpaka kufikia hatua ya kutupa tabu ya vumbi wakazi wa eneo hili.
Tunaomba viongozi hili jambo mlisimamie mtusaidie tunapata tabu sana.