KERO Kero Bodaboda wa Kitunda njiapanda msikitini kujichukulia sheria mkononi wakati kazi niya traffic

KERO Kero Bodaboda wa Kitunda njiapanda msikitini kujichukulia sheria mkononi wakati kazi niya traffic

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

EDzo James

Member
Joined
May 24, 2022
Posts
5
Reaction score
1
Wapo ndani ya hifadhi ya barabara wamegeuza kijiwe cha bodaboda na kukamata bodaboda wengine wanaopita na kuwatoza faini wakishinikiza kuwa huruhusiwi kubeba abiria eneo hilo kama haupo kwenye chama chao ambacho ni kama kukoba wakati hakuna sheria inayoruhusu kuanzisha kijiwe au stendi ndani ya barabara

Lakini wao wanafanya hivyo kwa shinikizo kwamba wameruhusiwa na mwenyekiti wa mtaa huo kukaa hapo wakati huo wao wenyewe wapo kinyume na sheria za usalama barabarani

Je kuna sheria inayoruhusu kuanzisha kijiwe ndani ya barabara? Ningeomba JamiiForums jukwaa la haki msaidie kupeleka kero hii mahali husika maana imekuwa kero kwa vijana wengine kufanya kazi kwa amani wapitapo hapo
 
Back
Top Bottom