BrownRange
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 927
- 1,191
Ndugu yangu pole. Kuna haya makanisa ya kiroho omba Mungu yasikukute ukiwa na mtoto mchanga ambaye kulala anahitaji utulivu ni shida mnooo.Vumbi la unga litaingia ndani mwako madirisha yakiwa wazi
Naishi karibu na makanisa mawili,moroviani/Efatha kazi inaanza tokea ijumaa kukesha hadi jumapili jioni, wakianza kulia sasa hiyo midundo ya maspika hakuna kulala,Kero yake ni ndogo kuliko kujenga karibu na msikiti au kanisa la walokole.
Hii ya kanisa la walokole noma. Nkiwah panga nyumba yani kumbe ukuta wa ule uzio wa nyumba upande wa pili kuna kanisa la walokole, kila jion wana ibada wanafungulia mziki muda mwingine hadi saa tatu usku. Jumapili kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa saba. Huo mziki sasa.Kero yake ni ndogo kuliko kujenga karibu na msikiti au kanisa la walokole.
Halafu atakua ananunua unga wa magaham kwa Bei powa.Mashine ya kusaga Haina shida yoyote mkuu. Wewe Jenga tu, kelele huwa ndogo Sana na sio Kila wakati.
Ukienda kusaga hata mtu akikwambia mkeo kafumania huwez sikia sababu ya kelele za mashine ya kusaga