Nilipanga Makongo mwenye nyumba mwalimu mstaafu. Alikuwa anabandika matangazo mlangoni "nimesema ukilala zima taa umeme utalipa Mara mbili jamani mbona mnanifanyia hivi?" 😆Nawakumbusha tu usipange nyumba ambapo mwenye nyumba anategemea kodi za wapangaji. Panga nyumba ambapo mwenye nyumba ana miradi yake ya kumuingizia pesa. Mimi nilipanga sehemu moja tu labda kero ni umeme kukatika na parking kuwa ndogo sometimes mgeni kulazimika kupark nje ya geti.
ngi.
Kudekishwa choo katika siku ambazo siyo zamu yanguBinafsi kero za mwenye nyumba zilisababisha kujenga nyumba yangu na kuhamia faster ilikuwa 2015,
Unalipa kodi mara umeme umekatwa wakati kwake upo, mara kuchota maji mwisho saa 4 asubuhi, hutakiwi kutumia pasi ya umeme wala water heater yani ilimradi uishi kwa mateso.
Ukiongea unaambiwa kajenge nyumba yako kama unadhani ni rahisi, Lakini kwa upande mwingine bila hizo changamoto labda nisingeweza kujenga, leo nipo kwangu na pia namalizia room za wapangaji ila sitawanyanyasa kamwe, Mwenyezi Mungu anisaidie.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nilipanga Makongo mwenye nyumba mwalimu mstaafu. Alikuwa anabandika matangazo mlangoni "nimesema ukilala zima taa umeme utalipa Mara mbili jamani mbona mnanifanyia hivi?" 😆
Nilihama baada ya mwenyenyumba kula unyumba mchana wa jua la utosi huku mkewe alikuwa hawezi kuzuia hisia mpaka ikafikia watoto kuwa wanaigizaBinafsi kero za mwenye nyumba zilisababisha kujenga nyumba yangu na kuhamia faster ilikuwa 2015.
Unalipa kodi mara umeme umekatwa wakati kwake upo, mara kuchota maji mwisho saa 4 asubuhi, hutakiwi kutumia pasi ya umeme wala water heater yani ilimradi uishi kwa mateso.
Ukiongea unaambiwa kajenge nyumba yako kama unadhani ni rahisi, lakini kwa upande mwingine bila hizo changamoto labda nisingeweza kujenga, leo nipo kwangu na pia namalizia room za wapangaji ila sitawanyanyasa kamwe.
Mwenyezi Mungu anisaidie.
Inaonekana wewe ni "maza hausi mnoko"!
Aah wapi[emoji1787][emoji1787] ni mpangaji mzoefuInaonekana wewe ni "maza hausi mnoko"!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Pole mkuu tafuta hela kwanzaHuna demu halaf unasikia miguno na mgegedo usiku daa inauma sana