Kero gani umewahi kukutana nazo kwenye nyumba za kupanga?

Nilihama baada ya mwenyenyumba kula unyumba mchana wa jua la utosi huku mkewe alikuwa hawezi kuzuia hisia mpaka ikafikia watoto kuwa wanaigiza
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 

Mida ya kuanzia saa 11 alfajiri unasikia kilio karibu kila chumba, mikwaju inatembezwa kama mchwa hadi inatia kero! Umeelewa hapo?
 

Unaweza kugongwa NDIZI kama mwenye nyumba ni dume na wewe ni tetea!
 
Sipendi kukumbushwa kumbushwa tarehe za kulipa kodi. Ilikua Mbeya mitaa ya katikati ya Mabatini na Simike, baba mwenye nyumba ni mstaafu halafu ela ya kodi ndio anategemea kufanya mambo yake ya msingi (kununua mbolea na kuandaa mashamba).

Basi kama kodi inatakiwa ulipe tarehe moja mwezi ujao, unaanza kukumbushwa kila siku wiki mbili kabla ili usije ukajisahau. Mzee mtata sana! Na alikua anataka uwe na pisi moja tu anayoifaham, kinyume na hapo anakupa notice uhame! Nilimkimbia mwenyewe nikaacha kodi ya mwezi mzima pale.

Tukio jengine lilitokea mkoa mwingine huko Tunduru. Nilifika ule mji sina ndugu wala nini kikazi, kazi ambayo ilinilazimu niwe pale miaka miwili. Basi baada ya kukaa wiki nzima gesti nikabahatisha kupata dalali wa vyumba nikampanga chumba nachotaka kuishi.

Dalali alikua muongeaji sana. Akaniambia chumba kipo kizuri self contained cha 50k maji mpaka ndani. Mwenye nyumba anaishi nyumba kubwa ya mbele na wapangaji wapo mabanda ya nje na wapo huru kurudi mda wowote. Nikaona patanifaa hapo.

Tukasogea mdogo mdogo, kamvua kalikua kananyesha. Mandhari yalikua mazuri palikua pametulia nikapapenda nikalipia na kuhamia siku ile ile. Daaaah! Kesho yake mchana natoka kazini nikakuta kundi la kina mama wapo nje pale na mikeka wengine wamesogea mpaka mlangoni kwangu wanapiga umbea miksa makelele kama yote. Kumbe ni mashosti na majirani wa mama mwenye nyumba, kila siku ndio kijiwe chao pale.

Nikawasalimia kwa pamoja nikazama ndani. Nikaanza kuwaza itakuaje hapa nikipata pisi yenye aibu mchana nazama nayo vipi kwa mazingira yale! Yani kila anaeingia wanamjadili! Nikaona jau baada ya miezi miwili nikatafta chaka lingine!!!
 
Nilipanga nyumba mama na mabinti zake mtihani....
Wapangaji wenzangu ni mishangazi...mtihani tena...
Mara mangi leo tumekuletea mboga..πŸ™‚
Kesho mwingine bwashee leo nitakufulia...πŸ™ƒ
Siku ingine harawa leo nitakudekia😊...hakuna hata mmoja nilimpa nafasi...
Wakaniwekea kikao...wakaona inafaa wamwage maji chini ya mlango alfajiri ninapoamka wanisaidie kudeki.....πŸ™„...
Kwa kifupi niliruka maji nikafunga mlango....safari.....πŸ˜€....jioni kurudi nikakuta wamefunga kamba mbele ya mlango wangu halafu wameanika vyupi....πŸ™„sasa nyakati hizo nilikuwa navuta fegi..hivyo nilikuwa natembea na kiberiti....kwa kifupi sana....nilichoma vyupi vyote....kesho yake nikapewa notisi😐😐😐
 
Hatari sana
 
Bahati nzuri yalikukuta,na ukawa na uwezo. Jiulize wasio na uwezo hata kidogo sasa. Kikubwa tu ukiwa na moyo wa utu,ukiwa na kwako utatambua changamoto wanazopitia wapangaji wako. Kosa tu moja,japo wakati mwingine unajikuta huna namna. Lakini kupanga nyumba,na wenyewe wako huko!? Utachemka sana. Na wa hivo ni wale wa kuchungulia umepika nini. Unaambiwa we kula tu nyama zako ila ujue kesho nataka pesa yangu
 
Na kichaa kilikuwemo lakini
 
Ulitakiwa uwadinye wote mwanzo mwisho bila kumsahau maza hauzi. Hata kwa kubaka,bila kujali umri wake. Si kila mmoja amejipangia majukumu? Na unawaeleza kabisaaa,wote moto lazima uwapelekee. Ukishawazunguuka unatema au unaamua ubaki na nani
 
Ulitakiwa uwadinye wote mwanzo mwisho bila kumsahau maza hauzi. Hata kwa kubaka,bila kujali umri wake. Si kila mmoja amejipangia majukumu? Na unawaeleza kabisaaa,wote moto lazima uwapelekee. Ukishawazunguuka unatema au unaamua ubaki na nani
Niliogopa wangenitia nuksi na umaskini.
 
Nilipanga geto moja kipindi nqjitafuta aisee yule mama mwenye nyumba ni msumbufu balaa,kwanza maji anafunga funguo anaenda nazo ofisini hivyo kuchota maji mpaka arudi.

Pia tarehe ya mkataba kuisha yupo mlangoni kudai kodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…