Kero hii NHIF hadi lini?

Kero hii NHIF hadi lini?

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Pale unapokwenda kutafuta tiba na katikàti ya huduma unaelezwa na madaktari husika kuwa: "Kipimo au tiba hii haiingii kwenye NHIF, inabidi ulipie cash."

NHIF mlipoanza huduma hii hili mlilipanga vipi?

Je, ni haki mteja wenu mnamkata pesa kila mwezi na mara nyingi haugui ama kutumia kadi hata miezi sita, vipi mteja wenu huyu anapofikwa na shida kubwa katika ugonjwa anakutana na kikwazo hiki?

Nini hasa tatizo?
Je, ni lini shida hii itaondolewa ili tupate kunufaika na huduma zenu kwa 100% pia kuizidishia thamani kadi yenu ya matibabu?
 
Haya mambo ya bima bora yangekuwa hiari
 
vifurushi vya nhif. we unalipia kipi?

83662159_1534288936718863_7648740909068058624_n.jpg
 
mim ni kifurush cha sitandard.je kinacover nin na nn?
Pale unapokwenda kutafuta tiba na katikàti ya huduma unaelezwa na madaktari husika kuwa: "Kipimo au tiba hii haiingii kwenye NHIF, inabidi ulipie cash."

NHIF mlipoanza huduma hii hili mlilipanga vipi?

Je, ni haki mteja wenu mnamkata pesa kila mwezi na mara nyingi haugui ama kutumia kadi hata miezi sita, vipi mteja wenu huyu anapofikwa na shida kubwa katika ugonjwa anakutana na kikwazo hiki?

Nini hasa tatizo?
Je, ni lini shida hii itaondolewa ili tupate kunufaika na huduma zenu kwa 100% pia kuizidishia thamani kadi yenu ya matibabu?
NHIF ni hiari kwa sasa na ina vifurushi ambavyo unalipia mchango wako kulingana na umri, uhitaji na pia ukubwa wa Familia.
Screenshot_20210708-140027_Gallery.jpg
 
wewe umejiunga na kifurushi kipi? maana kila kifurushi kina huduma zake
Hicho ndio hasa ninachokihoji,hawa jamaa hawakutakiwa kubagua mgonjwa apate tiba unayostahili kwa 100%..hapo ndipo bima italeta maana
 
Mnapojiunga Bima someni zile forms ili kujua ni huduma gani unastahili kupata na ipi haipatikani. Wengi tunasaini tu na kukwepa Yale maelezo mengi. Ukija hosp ukaambiwa hii huduma haipatikani kwa NHIF unaishia kulalamika!
 
huduma za serikali ya wadanganyika nyingi ni za kijambazi....mtanisamehe...nimekosa neno zuri
 
Back
Top Bottom