KERO Kero iliyopo hospitali ya Kahama (Goverment Hospital)

KERO Kero iliyopo hospitali ya Kahama (Goverment Hospital)

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Jamaludin

Member
Joined
Apr 26, 2024
Posts
48
Reaction score
40
Kwakweli kumekua na kero sana kwa manesi walipo hospitalini hapa, wamekuwa wakitoa maneno ya kashfa na kejeli hasa kwa manesi wa clinic,

Ni maneno mabaya na ya kejeli sana yakiambatana na matusi.

Naiomba serikali ilifuatilie na kulichunguza swala hili.

Mimi binafsi nimewahi tolewa maneno ya kashfa nilipompeleka mwanangu clinic.
 
kero nyingine kahama ni barabara
barabara zina michanga na vumbi la kutosha na udongo
zile za mtaani ndo usiseme, kuna kasehemu kanaitwa masaki ndo hakaeleweki kabisa
barabara ya kuingia shule ya Anderleck, yaani mwenye shule ndo anakarabati barabara imagine
 
Tena barabara ya masaki imeharibika saana, unapoianza masaki tuu baada ya kukatisha kona ya shule ya secondary kishimba, barabara ni hovyo saana, na imekuwa nikero ya muda mrefu sasa.
 
Eneo la Manzese (KAHAMA MUNICIPAL)kutumika vibaya nyakati za jioni na usiku.

Hapo Manzese matukio ya watu kupigwa ,kuchinjwa hadi kufa ni tatizo kuu.

Kwa nini kisianzishwe kituo kidogo cha polisi eneo hilo kuziba mianya ya uhalifu?
 
Eneo la Manzese kutumika vibaya nyakati za jioni na usiku.

Hapo Manzese matukio ya watu kupigwa ,kuchinjwa hadi kufa ni tatizo kuu.

Kwa nini kisianzishwe kituo kidogo cha polisi eneo hilo kuziba mianya ya uhalifu?
Tena Manzese (Kahama) maeneo ya barabara ya machinjioni sio salama kabsa kupita kuanzia SAA 1 usiku, mpaka 11 arufajir, sio eneo rafiki kabsa, naiomba serikali ilitazame na ikiwezekana kiwekwe hats kituo kidogo cha polisi kukemea tatizo hili.
 
Back
Top Bottom