kero nyingine kahama ni barabara
barabara zina michanga na vumbi la kutosha na udongo
zile za mtaani ndo usiseme, kuna kasehemu kanaitwa masaki ndo hakaeleweki kabisa
barabara ya kuingia shule ya Anderleck, yaani mwenye shule ndo anakarabati barabara imagine