Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Be calm...!Ulitaka kusemaje kwani?
Sawa mkuuBe calm...!
Ndio suluhisho..serikali ijenge miundombinu kwenye miji mingine ili ipunguze watu kujaa Daslam.Wajenge na mikoa mingine
Ndio utawala wa huyo mama huo.Kwa sasa hivi na muda huu kuna miradi ya barabara inatekelezwa na wachina jiji zima la Dar es salaam.
Niitaje:
-Airport -KAMATA/Aggrey st.
-Bibi Titi Rd
-Ali Hassan Mwinyi rd
-Morrocco-Mwenge rd
-Ubungo-Kimara rd
-Ubungo -Mwenge rd
-Mwenge-Tegeta/Basihaya rd
-Kawawa /Msimbazi
-Azikiwe /Posta Mpya rd
Tunajua kuwa haya ni maboresho makubwa ya Jiji la Dar es salaam, lakini sasa kero ya kuingia Jiji la DSM na kutoka ni kubwa mno.
Uongozaji wa magari(Traffic Management) na utengenezaji wa njia mbadala(Diversions) ni kama haupo kabisa.
Wachina wanapuyanga kama wanavyojua wao.
Ujenzi wa kuhalalisha matumizi ya heLa za Uma na upigaji.Sijawahi kuona nchi yenye watu wasiojali maisha yao km watanzania..haihitaji kuambiwa shida kubwa zinazoweza kuwepo unapobomoa barabara nyingi kwa wakati mmoja na matengenezo yanafanyika mchana tu..lkn barabarani kuna watoto, wagonjwa, wazee, walemavu wanaohitaji kufika haraka wanakokwenda..siioni sababu za kubomoa barabara zote hizo kwa pamoja badala ya kuweka awamu kulingana na muunganiko wake ili kupunguza kero ya foleni..! Tanzania Kila mahali unaona ubinafsi na wizi!
Tazama kwa jicho la tstu vile vileKweli wewe ni wale kina njomba nchumali, kukijengwa nchale, kusipojengwa nchale, zikiliwa zote nchale, zikifanya kazi nchale... Mama anatakiwa achimung'unye wala achiteme...