ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kero yangu ni juu ya kusengenywa sisi ambao tumejikuta tumezaliwa katika familia zilizofanikiwa. Mtu yupo na mwenzake kitaa wanamsema mtoto wa kishua fulani eti kwamba ana maisha lakini hajui kuyatumia. Tena wanasema kabisa kwamba hizo nafasi wangebahatisha wao eti wangekuwa wameshatoboa.
Naomba niwaambie jambo moja kwamba sio kila mtu ataweza biashara eti kwa kuwa wazazi wake ni wafanyabiashara wakubwa, kila mtu na njia na uwezo wake halafu huwezi kujilinganisha na mzazi ambaye Ana miaka mingi hata 30 kwenye hio kazi ya biashara.
Msituseme vibaya kama ni maisha tunakula wote wenye kazi na wasio na kazi kikubwa fainali iwe uzeeni, na hata uzeeni fainali ya kazi gani kweni hapa Duniani tunashindana league na nani?
Mimi siwezi kuumiza akili mwisho wa siku niumize mwili eti kuwaza kwanini baba yangu au mama yangu na mamilioni na Mimi Sina hayo mamilioni kikubwa posho zangu napatia hapohapo na bado utajiri unanisubiri na bado naenjoy sitaki shida ndogo ndogo mtoto wa mwenzenu.
Ikumbukwe waliosema penye miti mingi hakuna wajenzi walikuwa na maarifa Yao kujua nature ilivyo mpaka mkunaji hodari asipate upele.