Kero katika mahusiano ya ndoa ....


kuna frnd wangu mmoja ana hiyo tabia sana, yaani yeye nyumbani kwake ni makelele mtindo mmoja, yaani ni kasuku! kweli ni kero, lakini sio wanawake wote.....mwanaume awe mnywaji acwe mnywaji mnahitaji kurudi makwenu mapema kuangalia familia jamani, mpaka watoto wawasahau?....na kusaidiana na mkeo hapa na pale.
 
nyie wanaume but why do you do this to us??

ni kosa kuwapenda n akuwajali kiasi hicho jamani?
 
nyie wanaume but why do you do this to us??

ni kosa kuwapenda n akuwajali kiasi hicho jamani?
hata ile feki nayo huwa inafanya hivo?:A S tongue::A S tongue:
 
hata ile feki nayo huwa inafanya hivo?:A S tongue::A S tongue:

dah ya kichina haifanyi hivo ila hapa nimevaa viatu vya wanawake wenzangu wanopitia haya mambo.

lakini mpwaz labda ni mapema mno kuisemea.................
 

hee huyu mwanamme ana vituko ..siku za weekend inabidi amsaidie mama watoto kazi ndogondogo .
kazi za home ni nyingi na zinzchosha sana ..pia haziishi ukimaliza hii inaibuka nyingine ..
Huyu jamaa hana huruma hata kidogo
 
nyie wanaume but why do you do this to us??

ni kosa kuwapenda n akuwajali kiasi hicho jamani?

Thanks bestlady hebu waulize maana mie sipati majibu
 
Nyamayangu (samahani, Nyamayao ... sijui kina nani),

Tatizo Mwanaume haoi wanawake wote, hata kama si wanawake wote wenye makelele. Mwanaume unaoa mke mmoja. Ukiwa naye huyo, kama ana makelele utafanya nini? Wanawake wengi filimbi ndo mtindo wao, ... at least wanaume wengi wanaoSEPA nyumbani husema mafilimbi yanawa put-off.

 
dah ya kichina haifanyi hivo ila hapa nimevaa viatu vya wanawake wenzangu wanopitia haya mambo.

lakini mpwaz labda ni mapema mno kuisemea.................
naona lile somo la KATIKATI YA MISTARI umeanza kufaulu eeh!leo umepata ''C'':A S tongue:
 
We ukikaa home, kama wote mko sitting room, lazima uangalie TAMTHILIYA hata kama kuna game linaendelea!!! Yaani labda ukajifiche chumbani!! Sasa nani atapenda kuangalia game chumbani??

We subiri, word cup inakuja. Kuna mechi hapa, kuna KOMEDI PALE, wanawake wengi kama si wote watakimbilia kwa komedi au kwenye tamthiliya. Sasa mwanaume ukaangalie mpira chumbani?? Lazima uende bar.... hata kama hunywi.
 
Pole First Lady! But nadhani ukiendelea kumfanyia mazuri muda anaochelewa kurudi let say in a month then ukatafuta weekend moja mkatoka out ukamweleza machungu yako, nadhani ataelewa!


Nni wepesi sana wa kuomba msamaha but after 2 days anarudi kulekule. Yani hizi lager jamani zinaleta tabu, anakwambia mke wangu mpendwa nakunywa 2 tu narudi sasahivi,basi hiyo sasahivi ni 6 usiku. Ulishamngoja mpaka ukachoka unafikiri mtu huyo akija utasemezana nae???
 

No hasty generalisation
 
Punguzeni filimbi, wanaume watakaa home. Kuchelewa sana bar sometimes ni frustrations tu!!
 
hee huyu mwanamme ana vituko..siku za weekend inabidi amsaidie mama watoto kazi ndogondogo .
kazi za home ni nyingi na zinzchosha sana ..pia haziishi ukimaliza hii inaibuka nyingine ..
Huyu jamaa hana huruma hata kidogo

FL shemeji yangu huwa anakusaidia? mie nilikuwa mpaka nimuwekee mtoto kwa nguvu hapo, pampers kwa lazima na akimaliza hapo utackia fulani kamitumia sms ana shida na me haraka...gia ya kutokea hiyo mtakutana maucku! alinisaidia kulea kwa nguvu.
 
Ndoa/mahusiano ni pamoja na kuvumiliana japo kuna wengine huvuka mipaka. Hakuna kiumbe ambae hana kasoro. Unaweza kujiona huna kasoro, lakini kumbe mwenzako anakuona una kasoro.

Ukiona mwenzako anakuwa kero zaidi, kaa nae chini mweleze kwa upole na upendo mkubwa na kumuomba awe considerate. Ukibahatika anaweza kubadilika, wengine ndio anaweza kuzidisha.
 
Uhondo wa ngoma ingia ucheze ndio utajua utamu na uzuri wake.
yalishanikuta sina hamu na kiumbe kinaitwa mwanaume ..no not at all..................:closed_2:

But can you do it without them? I think they form part and parcel of female's life!!! We have to find good menas of living with them
 
This must be a faithful man....analewa pombe tu na si kingine maana ulevi mbaya ni ule wa pombe na ngono na mambo yanayoendananayo.
 
causin inawezekana wa kwako akawa tofauti ...we jitose tu kwenye chama hiki muda ukifika ..lakini hawa jamaa sijui wakoje ..anaacha bear kwenye fridge nyumbani huyo chawote bar


sasa kwani nyumbani kwake unaruhusu 'kina Eliza'dadaangu?
 
causin inawezekana wa kwako akawa tofauti ...we jitose tu kwenye chama hiki muda ukifika ..lakini hawa jamaa sijui wakoje ..anaacha bear kwenye fridge nyumbani huyo chawote bar
Sasa FL nikijitosa wakati nimeshaona dalili ya mvua ni mawingu,itakuwaje akiingia ndani.Yaani kumuomba Mungu tu tufike salama,na tuwaendee kwa utaratibu coz ndivyo walivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…