Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
Maisha ndivyo yalivyo, sometimes, ilimradi tu mambo yasiende. Lakini kwa wale wanaume wasiokunywa pombe, wanarudi mapema na wanasaidia baadhi ya kazi za nyumbani mambo ni mazuri??? I'm one of them, but I wish ningekuwa mlevi kama wanaume wengine. Ukikaa nyumbani filimbi hazikomi na unapofika huo wakati wa kwenda kulala tayari kuna vi-bif vya kijinga vingi ambavyo ndo vinakuwa cited kama sababu ya kunyimwa uhaus. Hakuna lililo jema kwa mwanamke kwenye mambo kama haya. There is always KISINGIZIO!!!
kuna frnd wangu mmoja ana hiyo tabia sana, yaani yeye nyumbani kwake ni makelele mtindo mmoja, yaani ni kasuku! kweli ni kero, lakini sio wanawake wote.....mwanaume awe mnywaji acwe mnywaji mnahitaji kurudi makwenu mapema kuangalia familia jamani, mpaka watoto wawasahau?....na kusaidiana na mkeo hapa na pale.