Kero katika Misa Katoliki (kwa wakatoliki tu)

Huku Kwa walokole
Inapigwa pambio Kanisa zima linazunguka kutakiana heri hata round mbilimbili.
Labda aende kwa waadventist.
Huko hakuna (Misa). Ukielewa tofauti ya misa na Ibada utaelewa kwanini ijumaa kuu hakuna Misa bali Ibada. Mimi KANISA kamwe sihami ila nasema mambo yanayonikwaza Ili kama kweli yanashida yafanyiwe kazi. Mimi siwezi kwenda kwa KANISA lingine maana hawana Misa bali matamasha. Kwanza kwa sabato sio ata wakristo.
 
Wewe sio mkatoliki, wakatoliki hawana jumapili bali Dominika, siku ya Bwana, sio siku ya mambo mengine kama huwezi kuvumilia kwa nyumbani au kusali kwa mwamposa
 

 
Kunautofauti mkubwa sana ukisali kwenye makanisa ya ushuani na haya ya kitaa sijajua nadhani mapadre wanahubiri kutokana na aina ya waumini ukisali ushuani unapata ile test halisi ya ukatoliki ile tuliyokuwa tunaipata miaka miaka 90sπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mi tulibishana bado kidogo nimwambie ubatizo wenyewe sitisheni tuu, kuna mtu pembeni eti ananiambia usibishane na mtu wa Mungu hapo haongei yeye, hiyo ni sauti ya Mungu kupitia yeye. Nikasikitika tuu.
 
Kama huko mambo ni magumu nenda ukajiunge na kikundi cha Sheikh Mawaipopo cha kukata vichwa waandamanaji.
Shughuli ya kukata vichwa waandamanaji inaishaga saa ngapi? manake siku ile niliona wakiwa barabarani wanazurura kutwa nzima wakiwasubiri watu ambao hawakuwa na ahadi/makubaliano nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…