Kero katika Misa Katoliki (kwa wakatoliki tu)

Kuna jamaa tuligombana sana,basi yeye ni mkatoliki tulihudhuria misa ya ndoa ,tukawa tupo benchi moja nikasikia tutakiane aman ,jamaa hakuwa na jinsi akanipa mikono
 
Kuna jamaa tuligombana sana,basi yeye ni mkatoliki tulihudhuria misa ya ndoa ,tukawa tupo benchi moja nikasikia tutakiane aman ,jamaa hakuwa na jinsi akanipa mikono
Ndio hasa dhamira ya kutakiana amani, na hapo iliwakuta wahusika halisi πŸ˜ƒ
 
WE BABA UNA ROHO YA KISHETANI HATA KANISANI KOMA IWE MWIKO KWENDA USIJE TENA.

WATU TUSITAKIANE MEMA? TUSIJULIANE HALI? TUSIFUNZWE?
WATU TUMEKENGEUKA SANA SIKU HIZI TUMEKUWA WANYAMA

WE BABA KOMA HAMIA MORAVIAN
🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Tumsifu Yesu Kristo
 
Kipengele cha kutakiana amani kipo kote ht morovian atakikuta
Labda makanisa ya kilokole sijui...
Na huyo ya mgeukie jirani inategemea na mhubiri pia ipo kote tu...
πŸ˜„
Hataki amani kabisa, hawa ndo wale wanatunyima Lift tusio na magari, hawarukaribishi makwao na Jumuiya wanatuweka karibu na mabanda ya kuku tusikie harufu za mavi ya kuku tuumwe

Huyu baba ana roho mbovu mno
 
Nenda kwa Mwamposa ukauziwe udongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…