A
Anonymous
Guest
Serikali inasisitiza watumishi kuomba uhamisho wa kituo cha kazi kwa kutumia mfumo wa ESS Utumishi ikiwa na lengo la kurahisisha mchakato, kuokoa muda na kuondoa ukiritimba.
Wengi wanaoomba uhamisho huu ukiacha sababu zingine huwa ni kutaka kuwa karibu na wenza wao. Lakini kumekuwa na khero ya kukutana na neno Vacancy not budgeted hasa pale tu uhamisho unaopofikia ngazi ya Halmashauri kwa mtu anayeitwa Accounting Officer.
Hali hii inawavunja moyo watumishi na kuwakatisha tamaa pamoja na kuwaondolea morari ya kufanya kazi kwa ufanisi.
Mamlaka liliangalie hili swala ili kuwawezesha watumishi wote kuomba uhamisho maana ni haki yao ya msingi ya kiutumishi.