Mahamud_2000
JF-Expert Member
- Feb 8, 2014
- 200
- 99
kwa mfano umekuja uko club ama bar anatokea mshkaj anajidai anakufaham unampa bia moja.. wewe uko na dem wako hapo... kale ka bia bas anakanywa halaf anaanza kumshika shika dem wako kiuno... anaking'ang'ania wee kuliko hata we mwenye pesa... haka katabia kanakera mno ama mnasemaje waungwana
Mpaka inafikia hapo umekaa unakenua tu meno!!!kwa mfano umekuja uko club ama bar anatokea mshkaj anajidai anakufaham unampa bia moja.. wewe uko na dem wako hapo... kale ka bia bas anakanywa halaf anaanza kumshika shika dem wako kiuno... anaking'ang'ania wee kuliko hata we mwenye pesa... haka katabia kanakera mno ama mnasemaje waungwana