Kero kubwa mno ukiwa bar au club

Kero kubwa mno ukiwa bar au club

kwa mfano umekuja uko club ama bar anatokea mshkaj anajidai anakufaham unampa bia moja.. wewe uko na dem wako hapo... kale ka bia bas anakanywa halaf anaanza kumshika shika dem wako kiuno... anaking'ang'ania wee kuliko hata we mwenye pesa... haka katabia kanakera mno ama mnasemaje waungwana

Ulilazimishwa uende???
 
Mpaka inafikia hapo umekaa unakenua tu meno!!!
 
Mie kero yangu nikiwa baa za uchochoroni ni pale Muhudumu wa baa anaona kabisa watu mmekaa meza yenu mnamaongezi yenu halafu na yeye anakuja kukaa meza hiyo hiyo!🙁🙁😡😡
 
Back
Top Bottom