Wageni hawatafutwi nakuletwa mjini kuhifadhiwa! For your information hata hizo hotel nilishazilipia 4 months ago tena online! Niko kwe game ya tourism industry sincee 2000!!! Na waliomba ushahidi wa hizo invoices na receipts nikawapatia lakini wakagomea! Wakaomba itineraries nikawapa cha kushangaza wakaomba eti kitambulisho cha mimi kufanya kazi na agent huko marekani, nilistaajabu! Kilichobaki nihiyo parks fees tu so haikuwa nahaja yakutuma hela equity bank four months ago wakati hela Inafika Tanzania In two days! Nahata kama ni joint account tuliwapatia ushirikiano mpaka wa video calls kutoka kwa mbia wangu wakataa! Wakagoma pia kuongea na my abroad bank! Walikuwa wanania ovu! But let me reminding those guys this! NILIMUOMBA MUNGU AKANIFANIKISHA, MAKAPANGA KUNIANGAMIZA KIBIASHARA LAKINI, SIKU, SAA NA MUDA INAKUJA HUYU HUYU MUNGU ATAWAADHIBU HIYO SIKU WAKIWA WAMEJISAHAU!