Niwaombe wahusika muongeze mataa ya kuongozea magari aseee..
Hii imekuwa kero kubwa ktk makutano yote ya barabara hapa Dodoma hususani ktk maeneo ya Bunge, Kisasa, Majengo, Emous njia panda, Wajenzi na kidogo four ways..Mfano maeneo ya Wajenzi mida ya asubuhi na jioni huwaga kuna kero kubwa mno inayosababishwa na foleni, muda mwingine mpaka nawaona Askari nao wanachanganyikiwa..Tafadhali wahusika shughulikieni kero hii