abdi ally
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,563
- 2,163
Kuwa msemaji wa timu sio lazima uwe talkative muda wote kwa mambo mengne yasio ya msingiMkuu usifananishe timu za ulaya na ujinga wa hapa,geographical location na background ni tofauti sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa msemaji wa timu sio lazima uwe talkative muda wote kwa mambo mengne yasio ya msingiMkuu usifananishe timu za ulaya na ujinga wa hapa,geographical location na background ni tofauti sana
Mkuu mbona hata kwenye yale ya msingi kama Kuhamasisha mashabiki kuhusu michango na kufika uwanjani na kutoa updates za wachezaji tetesi za migomo na mambo yahusuyo Club hatumuoni akiwa mbele mbele. Huwezi amini %kubwa yetu wa Yanga hatupati taarifa kutoka kwake. Hakuna updates zozote za upcoming games na ufafanuzi wa games zetu sanjari na kuwapa moyo mashabiki. Mkuu sisi inatuuma sana wasione tupo kimya.Kuwa msemaji wa timu sio lazima uwe talkative muda wote kwa mambo mengne yasio ya msingi
Inategemea na uongozi uliokuwapo na hali ya mfumo wa kiuchumi. wakati wa enzi za ujamma (Nyerere), Yanga na Simba zilikuwa na connections na wafanyakazi wa mashirika na taasisi za serikali, na wachezaji wake wengi walikuwa wanapatiwa kazi (wanaajiriwa) na kulipwa mshahara ilhali wakiwa kwenye likizo za michezo kama vile ligi kuu, shimuta umishumta etc..SIMBA NA YANGA NI TIMU ZA USWAHILINI NI ZA KISWAHILI
1. Lazima awepo tajiri mwenye uwezo wa kununua wachezaji kuwalipa mshahara na pesa nyingine kwa ajili ya kuwapa " WAZEE WA TIMU" ambao hawana kazi ila siku usipowapa fedha utakipata
Hii ni kweli na kamati ya utendaji huwa chini ya Mwenyekiti wa klabu. Mwenyekiti na makamu mwenyekiti shughuli zao huwa zipo tofauti na sekretariati. kazi zao siyo za mshahara na huwa hawana sauti kwenye mapato ya kila siku ya klabu. Imetokea tu siku hizi mwenyekiti anakuwa muhindi mfadhili na anahusika na fedha. Kamati ya utendaji (uchawi) huwa inatafuta fedha zake za waganga nje ya day to day club operations.2. Lazima wawepo watu/kamati ambayo kazi yao ni kuzunguka na kutafuta waganga wa kienyeji ambao wakati mpira unachezwa wao watakuwa amba wamewabebesha wachezaji furushi la makorokoro ya ajibu ama watakuwepo uwanjani wenyewe wakiwa wamejificha sehemu wakiendelea na vimbwanga vyao, zamani walikuwa ni wazee lakini siku hizi ni vijana wadogo sana
Haya mambo yamekuja siku hizi, hasa kuanzia enzi za JK. Hawa wasemaji ni watu wa siasa tu na ndiyo wanaoharibu mpira wa Tanzania. Hawa wasemaji mara nyingi wanakuwa ni wanasiasa uchwara wanaotumika kupoza madhambi kama ya kuhonga marefa. Simba walijitokeza kwa wingi uwanjani siyo kwa sababu ya Manara, ila kwa sababu timu yao inafanya vizuri hata Manara angepiga kelele vipi, kama timu haifanyi vizuri, watu hawaendi uwanjani.3.Lazima kuwepo na msemaji ambaye hatumii ethics za uanahabari bali ni mipasho na michambo kama inayoendelea sasa kati ya zari na mange, ili kutengeneza hamasa kwa wachezaji na mashabiki nje ya uwanja kabla ya mechi , sasa hivi Yanga imekosa mtu wa namna hiyo baada ya jeri kuondolewa na kabaki manara mwenyewe anatamba atakavyo hana mtu wa kumjibu na inafikia wanataka kumrushia vijembe kocha ili awajibu raha yao itimie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Njaa Ndugu Yangu, Dismas Sauti Imekata...
Wewe si shabiki wa yanga, Mashabiki wa Yanga Wote wanajua kwamba Mwinyi Zahera Kwa sasa ndio Msemaji, mwenyekiti, katibu, kocha, mhasibu na mhamasishaji mkuu! Sawa mzee??
Msemaji anapokea kutoka juu kwa mwenyekiti na kuyafanyia analysis kisha kuyatokea publicity sasa yanga imepwaya iko iko tu ndio maana unamkuta msemaji yuko kimya tusubir baada ya uchaguzi tarehe 5may na yanga kuwa mfumo mzuri nini atafanya sasa hv wako bize na maandaliz ya uchaguziMkuu mbona hata kwenye yale ya msingi kama Kuhamasisha mashabiki kuhusu michango na kufika uwanjani na kutoa updates za wachezaji tetesi za migomo na mambo yahusuyo Club hatumuoni akiwa mbele mbele. Huwezi amini %kubwa yetu wa Yanga hatupati taarifa kutoka kwake. Hakuna updates zozote za upcoming games na ufafanuzi wa games zetu sanjari na kuwapa moyo mashabiki. Mkuu sisi inatuuma sana wasione tupo kimya.
Si mlimsifia anaendesha mambo kisomi??Usomi wa ulaya ktk mazingira ya kizaramo haviendani ndio maana mwisho wa siku mnarudi kusifia Hamshahamsha LA Kizaramo LA Manara.Ndugu zangu mm ni mwanaYanga tangu kuzaliwa yaani huyu msemaji wa timu yetu yupo kimya na hamna hamasa zozote kwa timu mimi sioni kazi anayofanya huyu jamaa Mara kumi akapewa Kijana anayejitahidi kuitetea timu na kumpa presha yule mlopokaji wa simba, huyu Dismas ajitafakari sisi tunaichangia club ili ipate maendeleo lkn yy hata kuhamasisha watu kuja uwanjani hakuna.
1. Hatumsikii hata akihamasisha
2. Hatumsikii hata akiongea maendeleo ya timu
3. Hatumsikii hata akihamasisha michango
7 hata kwenye yale ya msingi kama Kuhamasisha mashabiki kuhusu michango na kufika uwanjani na kutoa updates za wachezaji tetesi za migomo na mambo yahusuyo Club hatumuoni akiwa mbele mbele. Huwezi amini %kubwa yetu wa Yanga hatupati taarifa kutoka kwake. Hakuna updates zozote za upcoming games na ufafanuzi wa games zetu sanjari na kuwapa moyo mashabiki. sisi inatuuma sana wasione tupo kimya.
AONDOLEWE
Msemaji wa Man U, Arsenal, Man city umewahi sikia wakipiga vijembeNdugu zangu mm ni mwanaYanga tangu kuzaliwa yaani huyu msemaji wa timu yetu yupo kimya na hamna hamasa zozote kwa timu mimi sioni kazi anayofanya huyu jamaa Mara kumi akapewa Kijana anayejitahidi kuitetea timu na kumpa presha yule mlopokaji wa simba, huyu Dismas ajitafakari sisi tunaichangia club ili ipate maendeleo lkn yy hata kuhamasisha watu kuja uwanjani hakuna.
1. Hatumsikii hata akihamasisha
2. Hatumsikii hata akiongea maendeleo ya timu
3. Hatumsikii hata akihamasisha michango
7 hata kwenye yale ya msingi kama Kuhamasisha mashabiki kuhusu michango na kufika uwanjani na kutoa updates za wachezaji tetesi za migomo na mambo yahusuyo Club hatumuoni akiwa mbele mbele. Huwezi amini %kubwa yetu wa Yanga hatupati taarifa kutoka kwake. Hakuna updates zozote za upcoming games na ufafanuzi wa games zetu sanjari na kuwapa moyo mashabiki. sisi inatuuma sana wasione tupo kimya.
AONDOLEWE
We unaonekana umekulia kwa mtogole unapenda maneno ya shomboDismas hatufai ndugu zangu mashabiki wa Yanga tumekuwa qakiwa sana mpaka tunaanza kumkumbuka Jerry Muro
Yanga ni timu ya kiafrika lazima iendeshwe kiafrika, usiifananishe na arsenal au man u timu zenye washabiki dunia nzima, msemaji wa yanga hafaiMsemaji wa Man U, Arsenal, Man city umewahi sikia wakipiga vijembe
dismas ten hafai, hata updates ya kinachoendelea yanga hatoiMleta mada hivi unajua vyema kazi na job discrimination ya Public Relation Officer???
Acheni kulinganisha taaluma za darasani na hao wakimbia umamde Muro na Manara
Manara wakati ule wachezaji wa Mikia Wana Hali mbaya hata mikoani wanaenda na basi mbona alikuwa anapiga makelele. .ohh tunaenda FIFA..anakuja na TV kwenye pressNjaa Ndugu Yangu, Dismas Sauti Imekata...
Jerry Muro ana Masters DegreeMleta mada hivi unajua vyema kazi na job discrimination ya Public Relation Officer???
Acheni kulinganisha taaluma za darasani na hao wakimbia umamde Muro na Manara