Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 3,482
- 4,673
As/aleikum____bwana asifiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye bando niseme wazi kwamba Airtel ni majizi na siyo kama TCRA hawajui lakini wanashirikiana kutuumizaAs/aleikum____bwana asifiwe
Wakuu ivi huu mtandao wa Airtel unamilikiwa na nani????!
Yaani ni mateso kwakweli , halafu ni kila siku na kila mahali, ukimpigia mtu simu hamsikilizani, mara mtandao unashuka gafla ,mara simu inakata gafla,
Uko kwenye internet ndio ovyo kabisa masikini ya mungu, mara mnara uko full, mara umeshuka, yaani kalaa juu ya karaa, ivi wamiliki wa huu mtandao ni watu wasio na ujuzi wa mambo ya mawasiliano au kitu gani aswaa, au wanywa double kick hawajali malalamiko ya wateja!!!!,
Kipind cha nyuma nilijua labda simu, nikaiweka laini kwenye simu ya sumsang, Bado yaleyale.
Aisee ni kero mnooo
Kiukwel Airtel ni majangaKwenye bando niseme wazi kwamba Airtel ni majizi na siyo kama TCRA hawajui lakini wanashirikiana kutuumiza
Hii ktu nlidhan labda n tatzo la smu yangu aseeSMS sasa unaweza tuma hata kumi zikafika 2 nyingine zikafika baada ya masaa kadhaa hata 6, huku zinaonyesha zimetoka na kule yupo hewani
Zantel bando zao za intanet zkojeNipo zantel sijutii hadi maeneo nayoamini hamna H+ nikiwasha hioo na nguvu kubwa tuu pole yenu majiran
Unabaki kupasha sikio tu [emoji23]Kumbe hili tatizo ni kwa wengi..hata mimi ni hivyohivyo yani unaweza piga namba na ukaweka simu sikioni kumbe ilishakata zamaaani
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kumbe hili tatizo ni kwa wengi..hata mimi ni hivyohivyo yani unaweza piga namba na ukaweka simu sikioni kumbe ilishakata zamaaani
Ukisikiliza watangazaji walalamika tuma SMS 1 tu inatosha usitume 2 haa ha ha ujue huyo anatumia airtel maana unadhani haijafika kumbeHii ktu nlidhan labda n tatzo la smu yangu asee
Wapo ovyo tuZantel bando zao za intanet zkoje