Kero mtandao wa Airtel

Kwenye bando niseme wazi kwamba Airtel ni majizi na siyo kama TCRA hawajui lakini wanashirikiana kutuumiza
 
Ovyo sana hao jamaa mi nshaweka kando japo laini yao ndio ilikuwa line rasmi ila nimeona niache kulia lia na ni move on
 
SMS sasa unaweza tuma hata kumi zikafika 2 nyingine zikafika baada ya masaa kadhaa hata 6, huku zinaonyesha zimetoka na kule yupo hewani
Hii ktu nlidhan labda n tatzo la smu yangu asee
 
Wanaibia waTZ Sana,na hata mama wanamdharau maana hawajajitingisha hata kushusha bundle zao kama zamani,Naona wamemgomea.

Sa Hivi matumizi ni mara mbili Zaid.
Anyway najiandaa kuachana nao pia
 
Kumbe hili tatizo ni kwa wengi..hata mimi ni hivyohivyo yani unaweza piga namba na ukaweka simu sikioni kumbe ilishakata zamaaani
 
Kumbe hili tatizo ni kwa wengi..hata mimi ni hivyohivyo yani unaweza piga namba na ukaweka simu sikioni kumbe ilishakata zamaaani
Unabaki kupasha sikio tu [emoji23]
 
Kumbe hili tatizo ni kwa wengi..hata mimi ni hivyohivyo yani unaweza piga namba na ukaweka simu sikioni kumbe ilishakata zamaaani
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hii ktu nlidhan labda n tatzo la smu yangu asee
Ukisikiliza watangazaji walalamika tuma SMS 1 tu inatosha usitume 2 haa ha ha ujue huyo anatumia airtel maana unadhani haijafika kumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…