red bandama
JF-Expert Member
- Jul 29, 2016
- 483
- 574
Asante kwa kusikiliza maoniSawa tutafanya marekebisho endelea kutusikiliza
Anakera sana mkuu hadi najiuliza alipataje kazi redio kubwa duniani km bbcHahahahahaha aiseee
Nyootaa itakuaAnakera sana mkuu hadi najiuliza alipataje kazi redio kubwa duniani km bbc
Kwamba wewe una akili sana kuliko management ya BBC mpk uhoji Jamhur alipataje kaz huko?Anakera sana mkuu hadi najiuliza alipataje kazi redio kubwa duniani km bbc
Jamhuri yuko vizuri sana, pia Nyenjo Angela wote wapo vizuri sana, ila Jamhuri zaidiHuyu wa kuitwa jamuhuri mwavyombo anachefua anaposoma Habari anasoma neno moja moja
Ni siku nyingi Sasa nimevumilia hii kero imetosha
Mimi Ni mdau mkubwa wa BBC swahili huyu Mtangazaji anakera kwa kweli akiwa anasoma yeye taarifa huwa nalazimika kuzima redio
Alipataje ajira huko BBC?
Wawe wanamuachia Habari shabani ndege na ngendo angelo
Hata walimu wa kiswahili huko ulaya wengi ni wakenya....Kwanini watangazaji wengi ni wakenya wakati tunaojua kiswahili fasaha tupo tz
Kwanini watangazaji wengi ni wakenya wakati tunaojua kiswahili fasaha tupo tz
alafu haya ya kujaza ma degree, siku hizi yamekua km mikuku ya kizungu!!!!! Yani sio critical thinkers, yapo yapo tu Kama kuku wa amadolHata walimu wa kiswahili huko ulaya wengi ni wakenya....
I think ni channels tu....wabongo wana asili ya uchoyo na roho mbaya...mtu akipata nafasi hakumbuki kuwanyanyua walio chini bali akiweza hujaribu kuwadidimiza....
...angalia migogoro ya BASATA na Wasanii....roho mbaya na kijicho tu...jitu limejaza madigirii kabatini linazidiwa kipato na msanii wa bongo fleva linaamua kutumia madaraka yake kumshusha...
Hata walimu wa kiswahili huko ulaya wengi ni wakenya....
I think ni channels tu....wabongo wana asili ya uchoyo na roho mbaya...mtu akipata nafasi hakumbuki kuwanyanyua walio chini bali akiweza hujaribu kuwadidimiza....
...angalia migogoro ya BASATA na Wasanii....roho mbaya na kijicho tu...jitu limejaza madigirii kabatini linazidiwa kipato na msanii wa bongo fleva linaamua kutumia madaraka yake kumshusha...
Sio kweli mkuu waandishi wetu wapo vizuri sana fatilia kama kuna makosa hayo labda watu wa mitaaniKiswahili fasaha kipi mnachoongea nyinyi msojua kutofautisha R na L wakenya wanaongea kiswahili fasaha kuliko Wa Tanzania
Sam Mahela ndio asije kabisa kupata nafasi hiyo maana anakera sana. Kwenye a anaweka h,na kwenye h anaweka a...Sio kweli mkuu waandishi wetu wapo vizuri sana fatilia kama kuna makosa hayo labda watu wa mitaani
Akitangaza endelea kuzima Radio hadi pale atakapostaafu maana yuko ukingoni. Kwa vile umri wake umesogea. Yamkini umeanza kumsikia hivi karibuni ndo maana unataka aendane na kasi ya akina Shaban Ndege na Mariam Dodo Abdallah. Yeye anafuata falsafa ya usomaji wa habari wa enzi za uanzilishi wa BBC Idhaa ya KiswahiliHuyu wa kuitwa jamuhuri mwavyombo anachefua anaposoma Habari anasoma neno moja moja
Ni siku nyingi Sasa nimevumilia hii kero imetosha
Mimi Ni mdau mkubwa wa BBC swahili huyu Mtangazaji anakera kwa kweli akiwa anasoma yeye taarifa huwa nalazimika kuzima redio
Alipataje ajira huko BBC?
Wawe wanamuachia Habari shabani ndege na ngendo angelo
badili channelHuyu wa kuitwa jamuhuri mwavyombo anachefua anaposoma Habari anasoma neno moja moja