red bandama
JF-Expert Member
- Jul 29, 2016
- 483
- 574
Huyu wa kuitwa jamuhuri mwavyombo anachefua anaposoma Habari anasoma neno moja moja
Ni siku nyingi Sasa nimevumilia hii kero imetosha
Mimi Ni mdau mkubwa wa BBC swahili huyu Mtangazaji anakera kwa kweli akiwa anasoma yeye taarifa huwa nalazimika kuzima redio
Alipataje ajira huko BBC?
Wawe wanamuachia Habari shabani ndege na ngendo angelo