Kero: Mtangazaji wa BBC swahili anakera

Kero: Mtangazaji wa BBC swahili anakera

Pia kuna yule mama anatangaza kila siku jioni BBC, nadhani kupitia RFA, pale anapotaja namba za simu ili uchangia maoni, huwa anasema: "kutuma maoni, bonyeza nene, 99, 800"...sasa je, huwa anamaanisha nane (8) au huwa anatamka makusudi?
 
Wasikupangie cha kusikiliza tune TBC
hahahaaaaa siingiii chaka. japo TBC jioni kale ka kipibndi kao ka pwagu na pwaguzi kameniteka, yaani ikifika jioni huwa nafanya maamuzi magumu kutune TBC maana at the same time naona ninahamia CCM then then kipindi kipindi kikiisha inabidi nihame tena. duh
 
Hata walimu wa kiswahili huko ulaya wengi ni wakenya....

I think ni channels tu....wabongo wana asili ya uchoyo na roho mbaya...mtu akipata nafasi hakumbuki kuwanyanyua walio chini bali akiweza hujaribu kuwadidimiza....
...angalia migogoro ya BASATA na Wasanii....roho mbaya na kijicho tu...jitu limejaza madigirii kabatini linazidiwa kipato na msanii wa bongo fleva linaamua kutumia madaraka yake kumshusha...
Sio kweli bongo pamoja elimu yetu bado mawazo yetu ni mgando sana
 
Akitangaza endelea kuzima Radio hadi pale atakapostaafu maana yuko ukingoni. Kwa vile umri wake umesogea. Yamkini umeanza kumsikia hivi karibuni ndo maana unataka aendane na kasi ya akina Shaban Ndege na Mariam Dodo Abdallah. Yeye anafuta falsafa ya usomaji wa habari wa enzi za uanzilishi wa BBC Idhaa ya Kiswahili
Vitoto vya siku hizi vinataka kila mtu aongee kama wao
 
Sio kweli mkuu waandishi wetu wapo vizuri sana fatilia kama kuna makosa hayo labda watu wa mitaani

Wanayo hayo makosa sana tu TBC Ndio kabisa watangazaji wao bomu startv yaani Ndio kichefuchefu
 
Hata walimu wa kiswahili huko ulaya wengi ni wakenya....

I think ni channels tu....wabongo wana asili ya uchoyo na roho mbaya...mtu akipata nafasi hakumbuki kuwanyanyua walio chini bali akiweza hujaribu kuwadidimiza....
...angalia migogoro ya BASATA na Wasanii....roho mbaya na kijicho tu...jitu limejaza madigirii kabatini linazidiwa kipato na msanii wa bongo fleva linaamua kutumia madaraka yake kumshusha...
We jamaa..aisee sisom PhD tena
 
Kwanini watangazaji wengi ni wakenya wakati tunaojua kiswahili fasaha tupo tz
watz wapo wengi sana kuliko wakenya.... embu fikiria kikeke, zuhra yunus, regina mziwanda, ambia hirsi, abdul famahu, anord kayanda, wakina tido mhando mpk wakapewa ukurugenz... ila ukirud kwa wakenya wapo wachache wakina kaira na baadh wachache sana wakenya compare to watz
 
Back
Top Bottom