Kero nilizokutana nazo Dar natamani kurudi mkoani

Ww utakuwa umefkia uswahilini...joto sio la kutisha kama unaish kwny nyumba nzur
 
Ww utakuwa umefkia uswahilini...joto sio la kutisha kama unaish kwny nyumba nzur
Nmetok Dodoma kuna baridi alafu unaingia jiji la Joto kubadilisha mwili kuzoea hali ya hewa fulan ni vigumu uliacha sayansi form ngap
 
Dar kwel kuna kero,mpaka daladala kupanda unatumia nguvu,utadhani Wanafunzi,Dar kutoka sehemu moja kwenda kwingine ni shida,Mtu anaamka saa tisa asubuhi na ilhal safar yake ni ya humo humo Dar lakin anaeenda Mwanza anaamka saa 10:30,kuingia Dar shida kutoka napo shida,yaani kila kitu shida,nipo Mkoa wa jirani na Dar lakini nikipata safar ya Dar najihisi kuumwa hasa nikikumbuka mikiki mikiki yake,nilishamkosa Dem kwa sababu ya changamoto ya Dar,kila akiniambiwa nikakutane naye Dar nakuwa mvivu mpaka nikapotezea
 
Nmetok Dodoma kuna baridi alafu unaingia jiji la Joto kubadilisha mwili kuzoea hali ya hewa fulan ni vigumu uliacha sayansi form ngap
Mm ckusoma hizo forms ila nmetoka primary nikaandaa title ya researh, nikaandka proposal,nikafanya research na nikaandika thesis kisha nika-present na ku-defend nikapewa masters yangu. Saiv nafanya PHD na case study ya research yangu ni Mpwapwa Dodoma. Kwanza njoo pm nmekupenda
 
Pole sana hii Dar mm inaikera sana safar ya dkk 10 unatumia saa kuna siku ubungo mwenge tulitumia lisaa limoja na nusu
 
Kumbe upo Dodoma kwenye Upepo na vumbi alafu unanibishia nn hapa
 
Hombolo mpwapwa St John udom mipango General hospital veta n. K
 
Pole sana hii Dar mm inaikera sana safar ya dkk 10 unatumia saa kuna siku ubungo mwenge tulitumia lisaa limoja na nusu
Mkuu,ndiyo mji nnaouchukia na sitegemei kuupenda wala kuishipo katika maisha yangu,lakini wengine wanaupenda pamoja na changamoto zake,bora Mwanza na Dodoma kwa miji ninayoipenda binafsi,ni aibu umevaa mchomkeo wa hatar alafu unang'ang'ana kupanda daladala kwa nguvu,kufikia hatua unapita dirishan kwenye daladala,kwa Mtu kama mimi huwa siwez hiyo kaz bora nibaki huku huku nilipopazoea na nnaishi kwa uhuru wote na maisha murua mpaka raha,hata mvua ikinyesha sina hofu ya mafuriko,wala Panya road au Mbwa mwitu
 
Pole mkuu. Fahamu kuwa Jiji la Dar es salaam ni kama mzinga wa nyuki wenye asali tamu. Huwezi kula asali mpaka ung'atwe na nyuki. Kwahiyo joto,foleni nk tunazivumilia kutokana na utamu wa jiji hili. Karibu sana mkuu
 
Nimejaribu sana kukusoma huwa sikuelewi sana, sasa nimepata majibu
 
Unachagua mpaka haisi ya kupanda Kwa raha
 
Pole mkuu. Fahamu kuwa Jiji la Dar es salaam ni kama mzinga wa nyuki wenye asali tamu. Huwezi kula asali mpaka ung'atwe na nyuki. Kwahiyo joto,foleni nk tunazivumilia kutokana na utamu wa jiji hili. Karibu sana mkuu
Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…