Naomba hiyo mbinu mkuu, mi mwenyewe nataka masters bila kukaa darasani. Nisaidie mkuuMm ckusoma hizo forms ila nmetoka primary nikaandaa title ya researh, nikaandka proposal,nikafanya research na nikaandika thesis kisha nika-present na ku-defend nikapewa masters yangu. Saiv nafanya PHD na case study ya research yangu ni Mpwapwa Dodoma. Kwanza njoo pm nmekupenda
Kama si mzoefu wa dar ukikaa week unaweza.
Dar kuna kero nyingi lile jiji kuna haja ya kulipanua kweli kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] shida mjini!Umekulia Nangulukulu au Nanjilinji lazima Dar uone kero
"Unavyozidi KUPANUA ndivyo watu wanazidi KUTAMANI"-Prof Anna Kajumulo Tibaijuka bungeni Dodoma 2017Kama si mzoefu wa dar ukikaa week unaweza kuisi uko kifungoni.
Dar kuna kero nyingi lile jiji kuna haja ya kulipanua kweli kweli