bornthelast
Member
- Jul 11, 2022
- 24
- 15
1.Kwani umeona kuna swali kwenye hii post ?Ni ushauri nimetoaPata elimu sahihi kuhusu UTT AMIS, then utaelewa hicho unachouliza.
Yah,ila teknolojia ni kubwa sana mkuu.It's possible.Wateja ni wengi sana kaka, hua naweka kijisalio kwa njia ya simu, hua inachukua siku moja kusoma kwenye account yangu,wala usiwe na shaka... Pesa zako zipo sehumu salama kabisa
Ili upate uelewa unauliza ua sijakuelewa mimi.1.Kwani umeona kuna swali kwenye hii post ?Ni ushauri nimetoa
2.Unaonaje hiyo elimu ukaweka hapa kwa manufaa ya wengi.
Ni kweli,inawezekana cha msingi nikupeleka maoni kwao wao wenyewe.... Lakini mimi mara nyingi huwa nikipata kijisalio,ambacho badala yakukifyeka kwenye unnecessary matumizi,hua natupia kwa njia ya simu,wanarudisha taarifa mzigo wamepokea,lakini unakuja kusoma baada ya siku moja,kitu ambacho mimi naona ni kawaida tuN
Yah,ila teknolojia ni kubwa sana mkuu.It's possible.
Sometimes inachelewa kusoma, lakini meseji inachelewa kurudi ila ukiingia kwenye app yao unakuta tayari imeshasomaHabarini wakuu,husika na mada tajwa hapo juu.Kama kuna viongozi humu wa UTT amis,tunaomba muangalie namna ambavyo salio linaweza soma haraka kwenye akaunti baada ya kuwekeza at least iwe within 24hrs kuliko hii ya kukaa muda mrefu kwani inazua taharuki kwa wawekezaji wengi.Lakini pia itawasaidia kupunguza kupigiwa pigiwa simu kila muda.Asanteni
Wiki3nd hawafanyi kaziMtoa mada nakuunga mkono. Niliweka hela ijumaa, imesoma leo j4. Inatuweka roho juu pengine hela imepotea