bornthelast
Member
- Jul 11, 2022
- 24
- 15
Habarini wakuu,husika na mada tajwa hapo juu.Kama kuna viongozi humu wa UTT amis,tunaomba muangalie namna ambavyo salio linaweza soma haraka kwenye akaunti baada ya kuwekeza at least iwe within 24hrs kuliko hii ya kukaa muda mrefu kwani inazua taharuki kwa wawekezaji wengi.Lakini pia itawasaidia kupunguza kupigiwa pigiwa simu kila muda.Asanteni