luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Ni aibu kubwa kwa uongozi wa Nzega na wana Nzega wenyewe..ukiingia ktk kile kituo cha mabadi kwa mujibu wa wao wenyewe wanavyo kiita.
Yaani ni takataka zimezagaa maeneo yote vifungashio vya kuwekea vyakula tu aibu gani hiyo na viongozi mpo mmekaa tu maofisini mnashindwa kuweka hata dustbins ? Wekeni basi na by laws kali dhidi ya hawa wanaochafua mazingira. Yaani miaka 2 ijayo kama hamtachukua hatua basi hako ka stand mkaite dump site tu