luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Kuna vimfuko vimetapakaa kwenye nyasi kwa kiwango kilichopitiliza.na hata hawajistukiiNi aibu kubwaa kwa uongozi wa Nzega na wana Nzega wenyewe..ukiingia ktk kile kituo cha mabadi kwa mujibu wa wao wenyewe wanavyo kiita.
Yaan ni takataka zime zagaaa maeneo yote vifungashio vya kuwekea vyakula tu aibu gani hiyoo na viongozi mpook mmekaa tu maofisi mnashindwa kuweka hata dustbins ? Wekeni basi na by laws kali dhidi ya hawa wanaochafua mazingira ....yaan miaka 2 ijayo kama hamtachukua hatua basi hako ka stand mkaite dump site tu
Yaan kale ka stendi hakana hadhii kabisaaa yaan yapaswa ihamishwe pale ..eti stand then mbele yake kuna kituo cha mafuta mipango ya OVYOO kabisaaa ...hawa wasukuma sijui wanyamwezi wa ovyo sanaaPia inaweza kuwa fursa hiyo kuwakamata wachafuzi wa mazingira.
Siku piga tu picha ila kwa msafiri yeyote wa njia ya kanda ya ziwa basi karibia zote zina ingia stand ya Nzega na atakuwa amejionea mitaka taka ilivyo zagaaaUshahidi.
Kule hamna kitu kabisaa ..ukianzia stand ya Igunda vi vumbi tu utazani upo bembezoni mwa barabara kumbe ni stand kuu πππ ukienda Shy at least ila napo.ni poor tu.. Singida wana hitaji stand mpyaa pale pashakuwa padogo sasa maana mibasi ya Kwenda Kanda ya zowa yote inapita Singida gari zikiongozana panakuwa na kafoleni pale ggetini sababu ya UkaguziHapo sawa. Nyanda za huko sijawahi fika. Ila nadhani mamlaka husika wataliangalia ilo nalo.
Kabisaa yaan hapafaiHatari sana..
MKURUGENZI NA MBUNGE BASHE WANASEMAJE?Ni aibu kubwa kwa uongozi wa Nzega na wana Nzega wenyewe..ukiingia ktk kile kituo cha mabadi kwa mujibu wa wao wenyewe wanavyo kiita.
Yaani ni takataka zimezagaa maeneo yote vifungashio vya kuwekea vyakula tu aibu gani hiyo na viongozi mpo mmekaa tu maofisini mnashindwa kuweka hata dustbins ? Wekeni basi na by laws kali dhidi ya hawa wanaochafua mazingira. Yaani miaka 2 ijayo kama hamtachukua hatua basi hako ka stand mkaite dump site tu