Kero tunazokutana nazo kwenye vibanda umiza

Pigaaa mbwaaa haaaooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shida vibanda umiza mashabiki wengi kuoga ndoo shida kujamba ndo usiseme.goli likiingia kushangilia na kujamba Vinaendana
 
[emoji3][emoji3][emoji3] yote kwa yote ndio raha ya bandani.
Kuna wengine mpira unaisha sauti imemkauka kuongea. Ukipigwa eti dakika ya 80 ukiinuka wanakuzuia hakuna kuondoka.[emoji23][emoji23]
Lingine ndio linakuja na redio yake linafungulia sauti kubwa kusikiliza uongo wa akina kashasha , unashangaa linaanza kushangilia goli kabla ninyi hamjaliona mkiliambia lizime linaanzisha vita
 
Kwenye kibanda umiza ninachoangalia mpira mimi ukifungwa unazuiwa usitoke halafu ukiisha mpira unapigiwa wimbo wa Amerudi Analia wa Christian Bella "Obama "
 
Hahaha hizi kiboko mkuu
 
Hahaha kushangilia na kujamba vinaendana ushuzi hausikiki ila harufu ndo balaa
Shida vibanda umiza mashabiki wengi kuoga ndoo shida kujamba ndo usiseme.goli likiingia kushangilia na kujamba Vinaendana
 
Hahaha mnalipiga
Lingine ndio linakuja na redio yake linafungulia sauti kubwa kusikiliza uongo wa akina kashasha , unashangaa linaanza kushangilia goli kabla ninyi hamjaliona mkiliambia lizime linaanzisha vita
 
Kibanda umiza chetu watu wastaharabu ,ila wanaokuja na redio wapo kama kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…