Kero vituko na vioja vya majirani

Kero vituko na vioja vya majirani

Yani huwezi amini.. Anaeza mzunguka mkewe hivihivi..akienda kusuka tu nyuma kibinti kinakuj a tena anakua keshajenga urafiki kati mkewe na madada fulani siku hao madada wakija mkewe asipokuepo gemu kama kawa
Dhuuu kweli huyoo anahitaji
Maombi
 
Nilijua tu wewe jamaa ulienda kuharibu.
Angalia mtoto anavyo quote meseji zako kwa bashasha mm naambiwa talkative, mtoto daaaah!!
Na nyota yangu ya punda.
Nimekubaliana na matokeo aisee.
Hahahaahhahahaahahahahaha sio ivo jamani nipeleke Taratibu buana
 
Nilijua tu wewe jamaa ulienda kuharibu.
Angalia mtoto anavyo quote meseji zako kwa bashasha mm naambiwa talkative, mtoto daaaah!!
Na nyota yangu ya punda.
Nimekubaliana na matokeo aisee.
Hahahaahhahahaahahahahaha unanichekesha huku ujue sina mbavu hapa haha
 
Nilijua tu wewe jamaa ulienda kuharibu.
Angalia mtoto anavyo quote meseji zako kwa bashasha mm naambiwa talkative, mtoto daaaah!!
Na nyota yangu ya punda.
Nimekubaliana na matokeo aisee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu mchezo hauhitaji hasira la sivyo utakufa mapema

mahondaw hebu sikiliza hitaji la huyu jamaa usije ukapata dhambi bure
 
Hahahaahhahahaahahahahaha sio ivo jamani nipeleke Taratibu buana
Yani ulivyokuja umewaka hasira mwenzako nimekuwa mdoog kama piritoni.
Nakutetemeka juu. Utadhani naishi na wewe ndani. Hapo tu sijakuona hivi. Je next month tutakavyoonana si nitazimia kwanza .

Ila huyu jamaa deby simuamini kabisa .
Lazima ana dawa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu mchezo hauhitaji hasira la sivyo utakufa mapema

mahondaw hebu sikiliza hitaji la huyu jamaa usije ukapata dhambi bure
Mwanaume hakati tamaa. Apambane tu
 
Yani ulivyokuja umewaka hasira mwenzako nimekuwa mdoog kama piritoni.
Nakutetemeka juu. Utadhani naishi na wewe ndani. Hapo tu sijakuona hivi. Je next month tutakavyoonana si nitazimia kwanza .

Ila huyu jamaa deby simuamini kabisa .
Lazima ana dawa
Hahahaahhahahaahahahahaha labda Daby ana nyotaa
 
Hoooo! Waoooo very nice
Kumbe wote n.ktu kimoja
Hata yang n hyo

Najua haitakutosha uongeze

Yakukusindikizia ucngz
Nikinywa nyingi tajaza tumbo afu ntakojoa Kojoa Kila saa
 
Hahahaahhahahaahahahahaha tatizo Daby ana nyotaa
Mkuu watoto wa kike wanapelekwa taratibu, women need time to accept things.
Yani ulivyokuja umewaka hasira mwenzako nimekuwa mdoog kama piritoni.
Nakutetemeka juu. Utadhani naishi na wewe ndani. Hapo tu sijakuona hivi. Je next month tutakavyoonana si nitazimia kwanza .

Ila huyu jamaa deby simuamini kabisa .
Lazima ana dawa
 
Dah! Ngoja nijiweke pembeni na nyota yangu ya punda.
Wenye nyota zenu kamatieni usukani....
[emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji1]

Haa haa rud kwa espy
Unajua kule kukowaz sasa
Mlango haujapata wa kupigia
Debe
 
Back
Top Bottom