Ahsante mremboPole sana
Shem wangu nisamehe bwana!Shemeji unanigawa tu kama fungu la nyanya!!
Nimeshapoa kamanda siroPole kamanda
Kumbe Daby ni muraaa???? Yooooooooo!!!!!!! Nafwaaaa!!!!Shem wangu nisamehe bwana!
Hapo nlikuwa namtania tu huyo jamaa.
Huyo ni mkurya , wanadunda sana wake zao siwezi kukupeleka huko.
Ngoja mahondaw ajipeleke akaoteshwe manundu
Manake nishaonesha dalili zote ila ananiruka ruka ..
Mara amchekee daby sa hivi mara anamwambia usser sijielewi.
Hapo maana yake akufukuzae.....
Ningoje nini tena dada yangu.
Ngoja niwe mtawa tu.
Mimi nimesema nasubiria kileleni hukuu atafika anibebe mzima mzima hata sipingi make ndo atakua mshindiShem wangu nisamehe bwana!
Hapo nlikuwa namtania tu huyo jamaa.
Huyo ni mkurya , wanadunda sana wake zao siwezi kukupeleka huko.
Ngoja mahondaw ajipeleke akaoteshwe manundu
Manake nishaonesha dalili zote ila ananiruka ruka ..
Mara amchekee daby sa hivi mara anamwambia usser sijielewi.
Hapo maana yake akufukuzae.....
Ningoje nini tena dada yangu.
Ngoja niwe mtawa tu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Shemeji unanigawa tu kama fungu la nyanya!!
Mi nitakula kwa macho kama "AY...zigo"Mimi nimesema nasubiria kileleni hukuu atafika anibebe mzima mzima hata sipingi make ndo atakua mshindi
We jamaa unapenda kuchombeza chombeza kweli yani.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Huyu shemej yako huyu
Haa haa haa ameshakufkishiaTeh afu shost angu Leo aliota nmeolewa kaskazini eti Nina ki babygal juu na two housegirls hahahahaha! Ukute
Why..... Saint Ivuga anakataa ulichoniambiaNo, ...