[QUOTE="Daby, post: 19790501, member: 255586"..Lady of actions.
[emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51]View attachment 471996
Huu ni moja ya mifano michache ambayo huwakuta jirani zangu....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yamekuwa hayo tena[/QUOTE][emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
Niguse uonee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asante kwa niaba ya wakulima woteBora yenu
Ngoja niitafute..Mbona niliitoaga hapa kuna uzi ila zamani sana hata sikumbuki taito yake ilikuaje
Nipo vizuri kwenye umbea wa kuperuzi peruzi...is only matter of th time . NitaionaTaito sasa nishaisahau ilikua mda mrefu kipindi naanza Kazi miaka ilee
Hamia kijijini hayo mambo hayapo kabisaSasa huku mimi ndo nachunguzwa kiasi kwamba Muda mwingine naamua tu kutotembea yani ukitoka tu skendo za kizush
Ni maoni yako.. Ndokwanzaaa siku yakwanza nimeajiriwa nmeripot kazini tu nimetoka zangu kishumundu huko kuja mkoa mpya wilaya mpya kata mpya kijiji kimya kitongoji kimya nimefika mida ya Jioni sina hata ninapopajuaa yeye katumwa kuja kunipokea .......... .Jirani mpk atake kukubaka lazima mlikuwa na mishe za kutaka kukazana tu
Ni maoni yako.. Ndokwanzaaa siku yakwanza nimeajiriwa nmeripot kazini tu nimetoka zangu kishumundu huko kuja mkoa mpya wilaya mpya kata mpya kijiji kimya kitongoji kimya nimefika mida ya Jioni sina hata ninapopajuaa yeye katumwa kuja kunipokea .......... .
Daby
Hata mi naishi kotaz ila kota zipo karibu karibu mpaka kero. hao wote ni watumishi ujue..kazini naishi kotaz umbali wa nyumba na nyumba mita mia moja unatenganishwa na msitu wa miti na mahindi. kukutana ni kazini na siku ya kusali jumuiya tu.