Kero vituko na vioja vya majirani

Kero vituko na vioja vya majirani

I was there ila kwa I'd nyingine. Nilisahau title tu ila ulipoitaja ikanijia
emoji4.png
emoji4.png
Khakha ili hivi id yako ya zamani ni ipi vilee?? Tehteh
 
Hahaha...alikuwa na ukame wa hatari na pia ni domo zege. Alishindwa hata kukukalisha kitako mkayajenga [emoji23][emoji23]
Naskia ndo mambo yake ya kufosi mabinti kinguvu. hata mkewe alituhadithia kuwa alimlazimishaga mpaka kumbikiri hahaha nacheka kama mazuri vile
 
Hahaha...alikuwa na ukame wa hatari na pia ni domo zege. Alishindwa hata kukukalisha kitako mkayajenga [emoji23][emoji23]
Tuyajengaje sasa simjui hanijui??? Wee mtu ndokwanza unamuona kwa mara ya kwanza!! Hio siku sikulala yani
 
Hahaha...alikuwa na ukame wa hatari na pia ni domo zege. Alishindwa hata kukukalisha kitako mkayajenga [emoji23][emoji23]
Ukame wapi kitombi tu yule Kila Leo analeta wasichana humu lakini haridhiki jicho linamtoka kwe
 
Naskia ndo mambo yake ya kufosi mabinti kinguvu. hata mkewe alituhadithia kuwa alimlazimishaga mpaka kumbikiri hahaha nacheka kama mazuri vile
Duuh, alikunywa supu ya papuchi nin!
Tuyajengaje sasa simjui hanijui??? Wee mtu ndokwanza unamuona kwa mara ya kwanza!! Hio siku sikulala yani
I used to say that maana
Kuyajenga ndiyo njia sahihi! Kuliko kujiporea. Unajua hata mtu akija honestly, ile unaweza kumfikiria eeeh
 
Ukishabatizwa ni mwiko kutaja la zamani... x wangu atanistukia acha tu.
Hahahaahhahahaahahahahaha ila kuna member wa zamani mewamis sana yani bas tu sijui kwanini kuna hio option ya kutengeza new id. mimi hata mtu anijue vipi sibadilishi wala
 
Duuh, alikunywa supu ya papuchi nin!

I used to say that maana
Kuyajenga ndiyo njia sahihi! Kuliko kujiporea. Unajua hata mtu akija honestly, ile unaweza kumfikiria eeeh
Hapana kwakweli.. Wee ndokwanza nilikua mgeni jamani hata mlango wa pili wa nyumba nilikua sijui upo wapi
 
Hahahaahhahahaahahahahaha ila kuna member wa zamani mewamis sana yani bas tu sijui kwanini kuna hio option ya kutengeza new id. mimi hata mtu anijue vipi sibadilishi wala
Hayajakukuta...je, huyo kitombi [emoji23][emoji23] utaweza kumvumilia na taarifa zake hizi
 
Hello members!
Bila kupoteza Muda naomba tutoe taabu na matatizo ya jirani zetu ambazo kwa namna moja ama nyingine zinaudhi na kuboa sana .
Hii itasaidia pia hata sisi wenyewe kujihoji na kujua baadhi ya mambo tuyafanyayo huko tunapoishi yanayowaboa wengine.
Nianze tu na baadhi ya vioja vyahapa kwetu :
1: Kuna kaka fulani hapa anaishi na mpenzi wake. Inaonekana huyo kaka anapenda sana kufanya tendo mara kwa mara kuliko kawaida. Yani akishinda kwake hio siku mpenzi wake ana shughuli pevu. Sasa sijui mkewe sijui mpenzi wake nae hana hata siri.. Mambo yao yandani anayaanika sana nje. Yani hakuna tusichokijua ndani yao Muda mwingine unamsikia kabisa mwanamke anavopinga na kukataa tendo kwa nguvu Muda mwingine wanavutana kweli mke anatoka mbio kwenda mtoni anakaa huko masaa kibao makusudi.
2. Mwingine tena anaeza kuta mtu upo zako kwako umejiwekea kamziki Kako sauti ya wastani tu. Hapohapo yeye ataenda kwake atawasha sauti kubwa kiasi kwamba utahis ngoma ya sikio inachomoka. sasa hapo kunakua na miziki miwili tofauti moja ndo sauti kubwaaa. Mbaya zaidi anaeza washa halafu anafunga mlango huyoo anaondoka. Mtu unaamua tu kuzima yako na kusikiliza yake make inaonekana kama mashindano vile.
3. Mwingine alitakaga kunibaka akaenda kunigeuzia kibao kwa mkewe eti mimi ndo namfosi kumtaka kimapenzi. Hii imejenga uadui mkubwa sana kati yangu na mkewe mpaka nashindwa kuelewa .
Human beings are very complex kwakweli nyie acheni tu

Toa maoni na vioja vya majirani zako.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
No 3 aiseee hapo kweli
Ulipewa mtihani

No 1 huyo dem n wale wakushinda vibarazan na saloon kuweka
Cr moyon kwake n mwiko
 
Una uhakika???! Anyway Jirani ni jirani awe wa kupanga au wa kujitegemea

Nyumba ya kupanga chumba nimeishi, nyumba ya kupanga nyumba nzima nimeishi, nyumba isiyokuwa ya kupanga nimeishi. Kuna tofauti kubwa ya aina ya majirani na vituko vya majirani.
 
Hayajakukuta...je, huyo kitombi [emoji23][emoji23] utaweza kumvumilia na taarifa zake hizi
Nishamzoea saivi napambana nae nishakua mwenyeji saivi kama mbwai mbwai.. Anaeza kuja na marafiki zake wa kiume akajifanya anatoka kasahau kitu huko. Akienda anakaa anakaa huko huku wale marafiki zake kuwaacha pale eti niwe napiga nao stori. Namimi natoka zangu nakua bize nayangu mpaka wanaamua kuondoka wenyewe. Mi nacheeeeka
 
Siamini kama kuna nyumba isiyokuwa na jirani. Shida ya mleta mada haku-define ni aina gani ya makazi alipo ila maelezo yake ni kuhusu nyumba za kupanga vyumba.
Mbona zipo nyumba nyingi sana ambazo hazina jirani
Kama huku kwetu porini
 
Back
Top Bottom