Kero vituko na vioja vya majirani

Kero vituko na vioja vya majirani

Nyumba ya kupanga chumba nimeishi, nyumba ya kupanga nyumba nzima nimeishi, nyumba isiyokuwa ya kupanga nimeishi. Kuna tofauti kubwa ya aina ya majirani na vituko vya majirani.
Jirani si mpaka mpange au mkae nyumba moja. hata kama kuna kaumbali fulani toka unapoishi hadi anapoishi pia ni jirani yako. Halafu mimi siishi nyumba ya kupanga sasa. Ni nyumba za taasisi fulani tunaishi watumishi wengi wengi tu ila kuna jirani mmoja utadhani yeye ndo landlord yani ana manenoooo ana gubuuu unaeza weka kitu hapa ukakikuta nje mara ufanye hiki akataze yani watu wana ngebe mnoo
 
Haa haa kweli unawakomoa
Yani hapa naishi kwa mashaka kweli.. Make mi si mwenyeji au mzawa wa maeneo hayo na sina hata ndugu. wanaeza nifanyia njama yani naogopaaaa bas tu
 
Mwanaume wa hivi akishakuonja....mtaani au ofisini utaoza
Ndoivo nishawajua yani. Huwa wanasema kabisa aarhg yule nishamla mbona hamna kitu mule yani yani yani.. Huwa anawalengeshea wengine eti wanijaribu make najidai najiona sana.. Na wengine anawaambia eti keshanila yani yani yani yani nyie wanaume sijui mkoje
 
Sio wote buana....

Kuna tunaojielewa mpaka kero.
 
Mwanaume wa hivi akishakuonja....mtaani au ofisini utaoza
Na hio mambo ya mashindano ya redio kwa mwanaume ni upuuzi mtupu.. Wanawake ndo tuna mashindano ya kijinga jinga. unaeza kuta namimi siku nimeweka sauti kubwaaa yeye nae kubwaaa yani inakua utoto tu mi naamua kuzima though yeye ni mkubwa sana
 
Sio wote buana....

Kuna tunaojielewa mpaka kero.
Khakhaakhaaaaa hongera sana and keep it up. Uwe mwanaume mzuri mtulivu mwelewa usie na ukorofi sawa eee??
 
Ndoivo nishawajua yani. Huwa wanasema kabisa aarhg yule nishamla mbona hamna kitu mule yani yani yani.. Huwa anawalengeshea wengine eti wanijaribu make najidai najiona sana.. Na wengine anawaambia eti keshanila yani yani yani yani nyie wanaume sijui mkoje
Aaah mkuu hao n masharobaro
Ndo wny huo ujinga na wale wasio jielewa
 
Yani hapa naishi kwa mashaka kweli.. Make mi si mwenyeji au mzawa wa maeneo hayo na sina hata ndugu. wanaeza nifanyia njama yani naogopaaaa bas tu
Dhuuu hapo kweli huna aman
Otherwise uombe tu uhamishiwe
Place nyingne ya kuish tofaut na hyo
 
Pole aseeh
Hiyo ya tatu nimetamani kuijua in deep. Ilikuaje? ?
Ais
Pole aseeh
Hiyo ya tatu nimetamani kuijua in deep. Ilikuaje? ?
Aisee huyu mtoto nimesumbuana naye Pm. Kanidanganya kuwa ameolewa kumbe kapanga mrembo anaishi mwenyewe.
Hadi anatole macho majirani
Nitoe mistari miwili mitatu basi mtoto aingie kingi.
Si unaona kisu kilivyosimama.
Yule espy nimekuachia koloni lako
 
[emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Aiseee nmeipata
Inaoneshq jamaaa alikua
Domo zege na alikua na ukame
Wa miaka 5 co bure aiseee

Co ujinga ule kama mtt wa under 10
[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom