Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Na wanaume wa hivi akikuta una aseeh....Tatizo Kazi sasa. biznes zake hazimruhusu kukaa moja kwa moja hapa huwa anakuja mara kwa mara wanamjua ila nashangaa hawaishi kunisakama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wanaume wa hivi akikuta una aseeh....Tatizo Kazi sasa. biznes zake hazimruhusu kukaa moja kwa moja hapa huwa anakuja mara kwa mara wanamjua ila nashangaa hawaishi kunisakama
GraciousThanks mkuu
Huyo alileta umbea, na hicho ndicho alicho kutana nacho...[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] . Noma sana. Hio ni chabo ama?
Jirani si mpaka mpange au mkae nyumba moja. hata kama kuna kaumbali fulani toka unapoishi hadi anapoishi pia ni jirani yako. Halafu mimi siishi nyumba ya kupanga sasa. Ni nyumba za taasisi fulani tunaishi watumishi wengi wengi tu ila kuna jirani mmoja utadhani yeye ndo landlord yani ana manenoooo ana gubuuu unaeza weka kitu hapa ukakikuta nje mara ufanye hiki akataze yani watu wana ngebe mnooNyumba ya kupanga chumba nimeishi, nyumba ya kupanga nyumba nzima nimeishi, nyumba isiyokuwa ya kupanga nimeishi. Kuna tofauti kubwa ya aina ya majirani na vituko vya majirani.
Mwanaume wa hivi akishakuonja....mtaani au ofisini utaozaAkikuta nini??? Malizia
Ndoivo nishawajua yani. Huwa wanasema kabisa aarhg yule nishamla mbona hamna kitu mule yani yani yani.. Huwa anawalengeshea wengine eti wanijaribu make najidai najiona sana.. Na wengine anawaambia eti keshanila yani yani yani yani nyie wanaume sijui mkojeMwanaume wa hivi akishakuonja....mtaani au ofisini utaoza
Sio wote buana....Ndoivo nishawajua yani. Huwa wanasema kabisa aarhg yule nishamla mbona hamna kitu mule yani yani yani.. Huwa anawalengeshea wengine eti wanijaribu make najidai najiona sana.. Na wengine anawaambia eti keshanila yani yani yani yani nyie wanaume sijui mkoje
Na hio mambo ya mashindano ya redio kwa mwanaume ni upuuzi mtupu.. Wanawake ndo tuna mashindano ya kijinga jinga. unaeza kuta namimi siku nimeweka sauti kubwaaa yeye nae kubwaaa yani inakua utoto tu mi naamua kuzima though yeye ni mkubwa sanaMwanaume wa hivi akishakuonja....mtaani au ofisini utaoza
Aiseee bora tu umwambieSio wote buana....
Kuna tunaojielewa mpaka kero.
Aaah mkuu hao n masharobaroNdoivo nishawajua yani. Huwa wanasema kabisa aarhg yule nishamla mbona hamna kitu mule yani yani yani.. Huwa anawalengeshea wengine eti wanijaribu make najidai najiona sana.. Na wengine anawaambia eti keshanila yani yani yani yani nyie wanaume sijui mkoje
Dhuuu hapo kweli huna amanYani hapa naishi kwa mashaka kweli.. Make mi si mwenyeji au mzawa wa maeneo hayo na sina hata ndugu. wanaeza nifanyia njama yani naogopaaaa bas tu
Hahahaha...Is there any gift from you? After having all those traits!Khakhaakhaaaaa hongera sana and keep it up. Uwe mwanaume mzuri mtulivu mwelewa usie na ukorofi sawa eee??
Aelewe kabisa kamanda.Aiseee bora tu umwambie
AisPole aseeh
Hiyo ya tatu nimetamani kuijua in deep. Ilikuaje? ?
Aisee huyu mtoto nimesumbuana naye Pm. Kanidanganya kuwa ameolewa kumbe kapanga mrembo anaishi mwenyewe.Pole aseeh
Hiyo ya tatu nimetamani kuijua in deep. Ilikuaje? ?
[emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Gracious
Hahahaha, mahondaw ebu nieleze kwqnza ukweli huyo mbabu aliyekubaka sio huyuAis
aisew haka katoto nimesumbuana nako Pm. Kamenidanganyabkuwa kameolewa kumbe kamepanga kamrembo anaishi mwenyewe.
Nioe mistari miwili mitatu basi mtoto aingie kingi.
Si unaona kisu kilivyosimama.
Yule espy nimekuachia koloni lako
[emoji23][emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Aiseee nmeipata
Inaoneshq jamaaa alikua
Domo zege na alikua na ukame
Wa miaka 5 co bure aiseee
Co ujinga ule kama mtt wa under 10