Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakurupuka kama huyo jirani [emoji3]Baelezeee Baelezeee baelewe
Mzoee tu Daby balehe inamsumbua.Mtoto espy alishafika bei kwa jamaa, sasa nashangaa kwa nini jamaa amechenji gia angani kama ukawa.
Mtoto mzuri espy mtoto ana lips tamu kama nini. Mtoto mashalah!! Nilianza kurusha ndoana ila nikaona isiwe shida nikmuachia jamaa.
Nikasepa kwa my cute my dream my angel my ovakado mahondaw... Hamadi mtoto ndio anaanza kunielewa nakuta jamaa katua tena huku kwenye thread ya mtoto.
Huyu jamaa ni kiwembe. Matokeo yake atawakosa wote
Mungu yu upande wake
Nilijua tu.Mungu yu upande wake
Sitaki kushika mapembe.Mwenyewe ameshakupa
Saport sasa ushindwe ww tu
Uanze kusema tukufungia
Kwa hio daby kisu?Tunapenda visuuuu si viwembe
Daaah!! Sina hamu naye..Mzoee tu Daby balehe inamsumbua.
Sio matusi bwana. Anakumind unamdhalilisha. Kakupenda afu ww bado macho kodo kwingineNashukuru kwa matusi.....
papara nmewachia wadogoThat's great usiwe na papara waego
Daaah!! Sina hamu naye..
Anataka kuwa nao wangapi...? Ujue mtoto nilishamchukua mara katia miguu yake kaharibu.
Mkuu acha wivu kuwa na roho ya kiumeWwe huoni ninavyo mmind deby sitaki kabisa amzoee mtoto wangu ila jamaa anazidi kuja tu speed anamchekesha sana mtoto yeye hajui naumia. Ningekuwa mhehe nikajinyonga haki
Ndege wa 3 anapeperushwaNdomana analalamika kumbe..