Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
- Thread starter
- #441
Defeteeeeeeeeddddd!!!!Mchukue tu sa hivi.
Ujue mwanamke hagandwi.
Ukimganda mwanamke hata kama unampenda sana utaumia tuu siku moja isiyo na jina.
Manake atakuwa na wewe ila mawazo yake yako mbali.
Mm nataka mke wa amani ndani kuwe na amani watoto waishi kwa amani na kwa upendo wa Mungu.
Im saint. I cant handle this battle any more.
Ujue mwanaume unaweza kupenda wanawake wengi ila atakayekupebda ndio unamchukua huyo huyo .
Na wengine wote unaweka pembeni.
Ila usawa huu mambo ya vidume watatu mnakomaa na mwanamke mmoja si ndio mwanzo wa kupangwa.?
Im out.
Ila nampenda saba tu.