Kero: Wasukuma kuongea kilugha kila mahali

Kero: Wasukuma kuongea kilugha kila mahali

Nywanoko [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yombagashi lolo?
Na mtuache, kuwa proud na kabila letu twaona yawa kero kwa wengine, kama hamjuwi lugha za kabila lenu siyo kosa letu..
Toka JPM kaingia madarakani tunachukiwa sana aise! Inasikitisha mno...
 
Kuna dada kaniambia wasukuma hawatahiriwi, hii Ni kweli?
Kweli, ila siyo kosa la jinai, kama ile nyama ikileta ugonjwa basi madaktari hushauri kuiondoa, lakini ukumbuke hata wazungu hasa wasio wayahudi na makabila mengine Asia wasio waislamu nawo hawatahiri, na hakijawapunguzia chochote maishani zaidi ya kuwa mbele kimaendeleo kuliko wanaotahiri..
 
Back
Top Bottom